Huu ni ukweli kuhusu samaki aitwaye chunusi

Huu ni ukweli kuhusu samaki aitwaye chunusi

Wanaoignore uwezo wako wa kuogelea nahisi exposure yao ya kuogelea ni ndogo. Binadamu aliyekulia kwenye shughuli za uvuvi kuanzia mdogo, plus akawa na kipaji cha kuogelea, siku ukimuona anaogelea unaweza hisi amezaliwa na samaki.

Under zero anxiety (siyo ktk harakati za kujiokoa na hatari) jamaa wanaogelea umbali mrefu sana. Kwanza they tell hawapati tatizo la kuishiwa pumzi, muscles zipo oxygenated muda wote.

Ni hadi mtu ushuhudie umbali wanaoweza kuogelea ndo unaweza kuamini.
Sujui wanashangaa nin, akat niko namiaka 11 nilkua naogelea umbali wakutoka magomeni mpaka kariakoo nahaikua story yakusismua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.

Kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.

Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
Una hatari ww
 
Bado natafuta connection kati ya huyo chunusi wa kwenye maji, yule wanasema anaangusha magari sijui ndo anataka damu, bado sielewi huu ni utata
 
Hii unaongelea from yur high point of view, ukiwa katika sea level mambo yanabadirika
Af muongeaji hamaanishi kupotea kama kupotea unayoijua ww, itakuwa anamaanisha minaz inaonekana ni mbali kias kwamba ni kama iko dunia nyingine
Kutokana na curvature ya earth kwenda majini umbali wa km 20 kutoka ufukweni ni sawa na fukwe kuzama kimo cha mita 31.

Mita 30 ni kadirio la urefu wa minazi yetu ya asili, sasa kwa yeye kutokuiona minazi (hata kama ataona majani tuu) ni sawa na yeye kuogelea kilomita kama 18 hivi. Huo ni umbali wa kutoka city mall (mjini) mpaka kwa Msuguli (Mbezi). Kweli unaweza kuogelea umbali wote huo na kurudi kwa kujifurahisha?
Dolphin ndo wana hiyo michezo ya kumzunhuka binadam kukiwa na hatar karibu, hasa papa
Siyo dolphin pekee, wapo pia samaki wadogo wadogo wanapomwona binadamu kwenye hatari ya papa huwa wanamzunguka (bait ball) ili kumzuga papa.
 
Kuna kaumbali kadogo ukiwa ndani ya maji unaona minaz au nchi kavu ni mbali na minaz inapotea flan hv, mimi sio muogeleaji lakin it makes sence kwakuwa ukiwa katika sea level ni rahisi kuona effect ya dunia mzunguko ko unajiona uko mbali sana kuriko jinsi watu wa nchi kavu wanavyokuona
Ndo maana we wa nchi kavu kuona base ya zile meli zilizotia nanga ni ngum, maana inakuwa isha hasiriwa na mzunguko wa dunia


Sent from my iPhone using JamiiForums
Una hoja nzuri sana!!
ila ulivyoandika 'kuriko' badala ya 'kuliko'umanifanya ni doubt
 
Chunusi ni Chunusi na Samaki ni Samaki. Tuheshimiane jamani hakuna mtoto humu!

Watu wamekufa maji ya ugoko mnasema samaki?
Wanasema kama ana afya anaweza kusurvice shoti ya huyo samaki. Ila wengi wakipigwa shoti ya hizo volt 800 basi either respiratory system huwa inashindwa kufanya kazi au moyo huwa unasimama. Na hapo ndio wengi huaga dunia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom