Huu ni ukatili uliopitiliza

Huu ni ukatili uliopitiliza

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,662
297292_286005181418743_100000277916331_1117118_2035076298_n.jpg
 
Hey samahan ivi kwer iyo mambo coz n ukatil mkubwa sn uwo na naomba kujua ukumu yake uyo mjamaa
 
hiyo ni tiba wakuu wala hawezi kufa,kama unabisha katazame kuku na kifaranga.
 
Acha utani mkuu!!

halafu kuna mtu alikuwa ameiweka kama avatar yake juzi kati, nikamuomba aitoe, simkumbuki ni nani!!
 
Mkubwa! Hata Mi niliiona lakini baada ya cku kadha cjamwona jamvini mpk hivi leo. Lakini Mi naona kama huu ni ukiukwaji kwa haki ya binadamu.
 
hii ndiyo sababu kubwa iliyonifanya niachane na chadema na siasa walau kwa muda.
siku ya jumatatu tarehe 3/10/2011 baada ya kuwa na matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa igunga, marehemu masoud wakati huo akiwa hai, alianza kulalamika ya kuwa baadhi ya viongozi wa chadema wakiwemo wa ngazi za juu wanamtuhumu kukihujumu chama hicho kwenye uchaguzi huo ambao yeye alikuwa mmoja wa mawakala.

Wakati tuko nae akaja katibu wa kilimanjaro bazil lema huku akilalamika ya kuwa chama kimehujumiwa na kisha akamnong'oneza marehemu masoud kabla ya kuondoka nae. Masoud hatukumuona tena mpaka tulipopata taarifa za mwili wake kuonekana porini.

Jamani uamuzi ni wenu.
 
Dah!hii dunia ina mambo..nia ya huyo jamaa ni nini hasa?
 
Mkuu mbona unaniharibia thread niliyoianzisha?
Si uende ukaanzishe ya kwako!!
Mijitu mingine bana!!
 
mm ni kweli??? aaggrrr mmeniharibia siku yangu, huzuni tupu!
 
hii ndiyo sababu kubwa iliyonifanya niachane na chadema na siasa walau kwa muda.

siku ya jumatatu tarehe 3/10/2011 baada ya kuwa na matokeo ya awali ya uchaguzi mdogo wa igunga, marehemu masoud wakati huo akiwa hai, alianza kulalamika ya kuwa baadhi ya viongozi wa chadema wakiwemo wa ngazi za juu wanamtuhumu kukihujumu chama hicho kwenye uchaguzi huo ambao yeye alikuwa mmoja wa mawakala.

Wakati tuko nae akaja katibu wa kilimanjaro bazil lema huku akilalamika ya kuwa chama kimehujumiwa na kisha akamnong'oneza marehemu masoud kabla ya kuondoka nae. Masoud hatukumuona tena mpaka tulipopata taarifa za mwili wake kuonekana porini.

Jamani uamuzi ni wenu.
Wewe ni kipofu nini? Hapa tunaongelea ukatili wewe unaleta ushabiki wa kisiasa. Kama usemayo ni kweli ulichukua hatua gani kabla na baada ya kuthibitisha kifo cha huyo Masoud?
 
Back
Top Bottom