Huu ni uchuro

Polisi wanapowasambaratisha raia wanaoandamana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara/siasa na kuwaacha raia wanaofunga barabara kwa magogo wakidai matuta barabarani
 
Unapo Copy from the desktop afu ukasahau na kutaka kuPaste kwenye Laptop pembeni yako:violin:
 
unapomfukuza kichaa laiyechukua nguo zako ilhali hali weye upo uchi wa mnyama yeye kavaa nguo!
 
Anaposhuka kiongozi wa chadema air port na kukuta maandamano ya kumpokea kiongozi wa cuf
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom