Huu ni uchuro

Huu ni uchuro

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Unaposema madem wa nini kumbe kutongoza hujui.
 
Unapojifanya great thinker wa kukopy na kupaste
 
Unapobanja wakti umati wa watu umekaa kimya kukumbuka marehemu waliotangulia mbele za haki!
 
unapozimia msibani ili upigwe picha
 
unapomtaka dem alafu unaomba msela akutongozee
unapotongoza kwa kumponda rafik yako!
 
Back
Top Bottom