Huu ni uchuro

Huu ni uchuro

Unapopata demu lakini anataka kukujuza ukweli wa Historia yake y mahusiano kabla yako:

1. "Nilishawahi kutembea na mume wa mtu mara 5 mojawapo tulipiga mambo kwny gari". Wakati ww huna gari-ndio umemaliza chuo

2. "Siku chache zilizopita nilimpa u-house BF wangu wa zamani ili nimkomeshe, akitaka kuja kwangu nimwambie niko na wewe". Wakati ww ulishapata u-house several times kabla tena bila ki-sulfate!
 
Unapoingia jf kama guest wakati ni free kuwa member,hii ni sawa na kupiga chabo disco wakati kuingia ukumbini ni bure
 
Unapozuga kuongea simu mbele za watu, ghafla ikaanza kuita kwa sauti.
 
kitu 'kikinyanyuka' afu unakaribia kushuka kwenye daladala.
 
unaposikiliza kipindi cha radio kwenye simu yako...then unapiga simu ili kuchangia mada, halafu unataka ujisikie
 
kitu 'kikinyanyuka' afu unakaribia kushuka kwenye daladala.

Au uko ofisini kitu kinasimama halafu unaitwa kwa boss....lol
Sijui utaamkaje na anayekuita kakusimamia muondoke wote
 
Back
Top Bottom