Huu ndo utakuwa mchuano mkali 2020, CCM watakuwa Kitonga wakiserereka!

Kuna uwezekano mkubwa wa cuf na chadema vikaungana na kuwa chama kikuu cha upinzani
Hv mkuu kinachoendelea saa hv CUF unadhani ni bahati mbaya, trust me 2020 tuna UKAWA mbili dhaifu dhidi ya CCM imara!
 
Yote umesema sawa ila wenzangu na mimi ndo hawataki kuelewa kama tunatokomea gizani.

Moja ya dalili ya kushuka kwa chama chetu ni UKUTA. Ililetwa bila kifikiria madhara yake kwa watu wengi. Wengi wameona CDM yetu kama kakikundi cha waasi ndani ya nchi.

Kibaya zaidi ni kule kuahirisha kumefanya watu wengi kuwa hawajiamini. Siku nyingine watu wataona ni walewale wa kila siku. Hivyo mambo yao hayatapata mwitikio wa kutosha.

Mwaka 2015 Chama cha Demokorasia na Maendeleo( CDM) kilikuwa ktk kilele chake cha mafanikio. Kama si technical error's walizofanya mwishoni kabisa, kushindwa kumuelewa mwenye ngoma waliyokuwa wakiicheza kwa mda mrefu ,uzoefu wa CCM, CCM kuwa chama Dora na mambo kadhaa ya kikatiba kuhusu uchaguzi ambayo hayajakaa sawa, basi CDM chini ya mwamvuli wa UKAWA walikuwa wanatinga magogoni!

Sasa baada ya tingatinga kuishika magogoni na mwenye ngoma kuanza kufanya kazi zake za asili za miaka yote( kumbuka NCCR ya 1995) sasa mambo yanabadilika kwa kasi mno.

Ni katika mukitadha huu nayaona mambo yafuatayo yakitokea kabla na mnamo mwaka 2020 kwenye medani za siasa kwenye kaya yetu tukufu!

1. CCM itakuwa imerudi kwenye level zake, CCM ile yenye uwezo wa hali ya juu kwenye proganda, CCM ile yenye uwezo mkubwa wa kimafia, CCM ile yenye think Tank zilizibobea, CCM ambayo vijana wadogo kama kina mnyika, Zitto, au tundu Lissu hawawezi kuitikisa hata kidogo!

2. Edward Ngoyaye Lowassa hatagombea uraisi, wengi watakipinga hili, lkn ukweli ni kuwa Lowassa ni mtu anayependa sana sehemu nzuri, anapenda sana ufahari. CDM( UKAWA) ya 2015 ilikuwa kama kigori wa kitutsi, ilikuwa inavutia, ulikuwa inapendwa na kila mtu, ilikuwa oxygen ya watanzania, iliwavutia Maaskofu, Mapadri, Mashehe hadi wachungaji, ninaamini hata mwenyekiti wa Chama aliyepita aliipenda CDM hii, yaani kuna wkt akikaa kwenye tv pekee yake alijikuta akitabasamu mwenyewe akiona jinsi CDM ilivokuwa tamu!
Mwaka 2020 CDM haitakuwa tena sehemu ya kujiskia ufahari, watakuwa wamekataa tamaa, morali itakuwa chini, yaani watakuwa wanapitia kipindi cha mpito baada ya mafanikio yaliyopatikana kwa kutumia nguvu kubwa( kwenye soka tunaita second season syndrome) hali ambayo ni ya kawaida sana baada ya kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hivyo Lowassa kama mtu anayependa ufahari hata kuwa tayari kugombea kupitia CDM iliyo ktk kipindi cha mpito, CDM isiyo fahari, hata kuwa tayari kuona kile kilichomkuta Mrema mwaka 2000 au Lipumba mwaka 2010 kikimtokea yeye! Sana sana atasitafu siasa au atabaki kama Mzee Mtei na kuwaingiza vijana wake au wakwe zake chamani au hata kurudi nyumbani Lumumba!

3.Mchuano mkali utakuwa kati ya wanaUKAWA wa zamani. Hapa baada ya wanaUKAWA kugawanyika wataunda kambi mbili, zote hizo zitakuwa zikipambana kuwania nafasi ya kambi rasmi ya upinzani. Hapa ni kwakuwa itakuwa wazi kuwa CCM watashinda kwa kishindo hivyo hawa wawili watajikuta hoja zao ni kuomba ridhaa ya kwenda kuisimamia serikali kama kambi rasmi ya upinzani! Ikumbukwe upande huu mpya wa UKAWA ndipo mwenye ngoma ile walioicheza CDM miaka dahari anapojaribu kuihamishia ngoma yake,hivyo kabla 2019 tunakwenda kupata UKAWA nyingine kubwa na yenye nguvu!

3.Wakati wanaUKAWA hawa wa zamani wakichuana vikali kutafta nafasi ya kambi rasmi ya upinzani, CCM wao watakuwa pale kitonga wakiserereka, wakisubiri tu kujua wameshinda kwa asilimia ngapi! Na sababu kuu hapa ni kuwa tingatinga litakuwa limetifua vya kutosha na kueleweka vilivyo, hivyo kuipeperusha vyema Bendera ya Lumumba, pili, CCM sasa imeondoka kwenye kipindi cha mpito na sasa wameanza kujiorganise wkt watani wao ndo kwanza wanaingia kwenye kipindi cha mpito, tatu chama kimerudi kwa wenyewe hivyo ile CCM tunayoijua yenye fitina za kutosha inakuja nadhani tayari mmeshaona balaa lao.

Mwisho katiba itakayotumika 2020 ni hii ya sasa kama siyo hii ya sasa basi ni ile ya Joka, mpaka hapo mchezo umeshaisha!
 
He mbona kila mtu analalamika maisha magumu? Huo mteremko kwa ccm utatokana na nini? Kqani ni nini mpaka sssa wamefanya kuwaletea wananchi unafuu, zaidi ya Magufuli kujitafutia personal glory?
 
Mkuu ni lini maisha yaliwahi kuwa mepesi!
 
Nakubaliana na wewe 100%
 
Akili ndogo, najua huwez kudigest hii kitu!
Kichwa cha habari kinaonesha mchuano utakuwa mkali! "Huu ndo utakuwa mchuano mkali 2020, CCM watakuwa Kitonga wakiserereka" hahaha eti akili ndogo!

Kama mchuano utakuwa mkali 2020, mserereko kwa ccm unakujaje hapa!
 
Mpaka hapo umedhihirisha we ni akili ndogo, soma vzr uelewe acha kukurupuka, kama umeshindwa piga chabo kwa jirani maana ndo unachoweza nahisi!
 
Daa mkuu hizo ni old stories na nadharia ambao haziwazui watu kufanya yao, ndio maana Edward Lowassa aliyekuwa icon ya ufisadi Tanzania kwa mujibu wa CDM, lkn akajaga kugombea Urais kupitia CDM.

Wewe kama bado upo huko wenzio kina Mbowe washatoka zamani, ushahidi kaangalie list of shame kwenye website ya CDM kama bado ipo! Pole sana mkuu!
Old story kivipi wakat!hawa wahusika wapo ccm ... Na wanakula matunda ya pesa walizoiba...unamaana gan kusema old story.......bado kuna mtu anakufa pale kijijini kwa sababu huyu mwizi wako unayemuita oldstory badala ya kutengeneza miundombinu alikula hii pesa na anaendelea kuila...... Hii old story ndo inasababisha tumenunua mapanga shaa leo badala ya mndege mkubwa .......hii unayoiita old story ndo bado inatutesa leo watoto wanakaa chini ya miti mpaka karne hii..... Hiihii old story inafanya hadi chanjo mahispitalini hazipo Na ndiyo maana mmeifungulia mahakama sijui ipo kumuhukumu nani km siyo hii unayooiita old story my friend hii old story ... Ndo ilitufanya tukampitisha huyu lowasa kuwa raisi....
.... Na tutaendelea kuikataa ccm milele

Pole wewe mwenye akili za kushikiwa na kujipendekeza
 
Mkuu una habari kama Edward Lowassa yupo CDM unawajua marafiki zake? Unajua kwanini simu hizi ni marufuku kuongelea ufisadi ndani ya CDM, wewe upo karne ipi?wenzeko huko walishatoka wanasema kipindi kile walikuwa wanatania tu!
Wanaoamini unachokisema ww wapo Canada tym hz, ww uko wapi mkuu!?
 
Mwaka 2015 Chama cha Demokorasia na Maendeleo( CDM) kilikuwa ktk kilele chake cha mafanikio. Kama si technical error's walizofanya mwishoni kabisa, kushindwa kumuelewa mwenye ngoma waliyokuwa wakiicheza kwa mda mrefu ,uzoefu wa CCM, CCM kuwa chama Dora na mambo kadhaa ya kikatiba kuhusu uchaguzi ambayo hayajakaa sawa, basi CDM chini ya mwamvuli wa UKAWA walikuwa wanatinga magogoni!

Sasa baada ya tingatinga kuishika magogoni na mwenye ngoma kuanza kufanya kazi zake za asili za miaka yote( kumbuka NCCR ya 1995) sasa mambo yanabadilika kwa kasi mno.

Ni katika mukitadha huu nayaona mambo yafuatayo yakitokea kabla na mnamo mwaka 2020 kwenye medani za siasa kwenye kaya yetu tukufu!

1. CCM itakuwa imerudi kwenye level zake, CCM ile yenye uwezo wa hali ya juu kwenye proganda, CCM ile yenye uwezo mkubwa wa kimafia, CCM ile yenye think Tank zilizibobea, CCM ambayo vijana wadogo kama kina mnyika, Zitto, au tundu Lissu hawawezi kuitikisa hata kidogo!

2. Edward Ngoyaye Lowassa hatagombea uraisi, wengi watakipinga hili, lkn ukweli ni kuwa Lowassa ni mtu anayependa sana sehemu nzuri, anapenda sana ufahari. CDM( UKAWA) ya 2015 ilikuwa kama kigori wa kitutsi, ilikuwa inavutia, ulikuwa inapendwa na kila mtu, ilikuwa oxygen ya watanzania, iliwavutia Maaskofu, Mapadri, Mashehe hadi wachungaji, ninaamini hata mwenyekiti wa Chama aliyepita aliipenda CDM hii, yaani kuna wkt akikaa kwenye tv pekee yake alijikuta akitabasamu mwenyewe akiona jinsi CDM ilivokuwa tamu!
Mwaka 2020 CDM haitakuwa tena sehemu ya kujiskia ufahari, watakuwa wamekataa tamaa, morali itakuwa chini, yaani watakuwa wanapitia kipindi cha mpito baada ya mafanikio yaliyopatikana kwa kutumia nguvu kubwa( kwenye soka tunaita second season syndrome) hali ambayo ni ya kawaida sana baada ya kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hivyo Lowassa kama mtu anayependa ufahari hata kuwa tayari kugombea kupitia CDM iliyo ktk kipindi cha mpito, CDM isiyo fahari, hata kuwa tayari kuona kile kilichomkuta Mrema mwaka 2000 au Lipumba mwaka 2010 kikimtokea yeye! Sana sana atasitafu siasa au atabaki kama Mzee Mtei na kuwaingiza vijana wake au wakwe zake chamani au hata kurudi nyumbani Lumumba!

3.Mchuano mkali utakuwa kati ya wanaUKAWA wa zamani. Hapa baada ya wanaUKAWA kugawanyika wataunda kambi mbili, zote hizo zitakuwa zikipambana kuwania nafasi ya kambi rasmi ya upinzani. Hapa ni kwakuwa itakuwa wazi kuwa CCM watashinda kwa kishindo hivyo hawa wawili watajikuta hoja zao ni kuomba ridhaa ya kwenda kuisimamia serikali kama kambi rasmi ya upinzani! Ikumbukwe upande huu mpya wa UKAWA ndipo mwenye ngoma ile walioicheza CDM miaka dahari anapojaribu kuihamishia ngoma yake,hivyo kabla 2019 tunakwenda kupata UKAWA nyingine kubwa na yenye nguvu!

3.Wakati wanaUKAWA hawa wa zamani wakichuana vikali kutafta nafasi ya kambi rasmi ya upinzani, CCM wao watakuwa pale kitonga wakiserereka, wakisubiri tu kujua wameshinda kwa asilimia ngapi! Na sababu kuu hapa ni kuwa tingatinga litakuwa limetifua vya kutosha na kueleweka vilivyo, hivyo kuipeperusha vyema Bendera ya Lumumba, pili, CCM sasa imeondoka kwenye kipindi cha mpito na sasa wameanza kujiorganise wkt watani wao ndo kwanza wanaingia kwenye kipindi cha mpito, tatu chama kimerudi kwa wenyewe hivyo ile CCM tunayoijua yenye fitina za kutosha inakuja nadhani tayari mmeshaona balaa lao.

Mwisho katiba itakayotumika 2020 ni hii ya sasa kama siyo hii ya sasa basi ni ile ya Joka, mpaka hapo mchezo umeshaisha!

Tamaa imewaua ukawa
 
Mkuu una habari kama Edward Lowassa yupo CDM unawajua marafiki zake? Unajua kwanini simu hizi ni marufuku kuongelea ufisadi ndani ya CDM, wewe upo karne ipi?wenzeko huko walishatoka wanasema kipindi kile walikuwa wanatania tu!
Wanaoamini unachokisema ww wapo Canada tym hz, ww uko wapi mkuu!?
sijui cha lowasa wala nn hata yeye nu mwizi tu.....
 
Back
Top Bottom