Mkuu uliona mbali, Chadema ya sasa huwezi kuitofautisha na Chauma yaani ni kama tajiri aliyefilisika na kubakiwa na ndevu tu.Mwaka 2015 Chama cha Demokorasia na Maendeleo( CDM) kilikuwa ktk kilele chake cha mafanikio. Kama si technical error's walizofanya mwishoni kabisa, kushindwa kumuelewa mwenye ngoma waliyokuwa wakiicheza kwa mda mrefu ,uzoefu wa CCM, CCM kuwa chama Dora na mambo kadhaa ya kikatiba kuhusu uchaguzi ambayo hayajakaa sawa, basi CDM chini ya mwamvuli wa UKAWA walikuwa wanatinga magogoni!
Sasa baada ya tingatinga kuishika magogoni na mwenye ngoma kuanza kufanya kazi zake za asili za miaka yote( kumbuka NCCR ya 1995) sasa mambo yanabadilika kwa kasi mno.
Ni katika mukitadha huu nayaona mambo yafuatayo yakitokea kabla na mnamo mwaka 2020 kwenye medani za siasa kwenye kaya yetu tukufu!
1. CCM itakuwa imerudi kwenye level zake, CCM ile yenye uwezo wa hali ya juu kwenye proganda, CCM ile yenye uwezo mkubwa wa kimafia, CCM ile yenye think Tank zilizibobea, CCM ambayo vijana wadogo kama kina mnyika, Zitto, au tundu Lissu hawawezi kuitikisa hata kidogo!
2. Edward Ngoyaye Lowassa hatagombea uraisi, wengi watakipinga hili, lkn ukweli ni kuwa Lowassa ni mtu anayependa sana sehemu nzuri, anapenda sana ufahari. CDM( UKAWA) ya 2015 ilikuwa kama kigori wa kitutsi, ilikuwa inavutia, ulikuwa inapendwa na kila mtu, ilikuwa oxygen ya watanzania, iliwavutia Maaskofu, Mapadri, Mashehe hadi wachungaji, ninaamini hata mwenyekiti wa Chama aliyepita aliipenda CDM hii, yaani kuna wkt akikaa kwenye tv pekee yake alijikuta akitabasamu mwenyewe akiona jinsi CDM ilivokuwa tamu!
Mwaka 2020 CDM haitakuwa tena sehemu ya kujiskia ufahari, watakuwa wamekataa tamaa, morali itakuwa chini, yaani watakuwa wanapitia kipindi cha mpito baada ya mafanikio yaliyopatikana kwa kutumia nguvu kubwa( kwenye soka tunaita second season syndrome) hali ambayo ni ya kawaida sana baada ya kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hivyo Lowassa kama mtu anayependa ufahari hata kuwa tayari kugombea kupitia CDM iliyo ktk kipindi cha mpito, CDM isiyo fahari, hata kuwa tayari kuona kile kilichomkuta Mrema mwaka 2000 au Lipumba mwaka 2010 kikimtokea yeye! Sana sana atasitafu siasa au atabaki kama Mzee Mtei na kuwaingiza vijana wake au wakwe zake chamani au hata kurudi nyumbani Lumumba!
3.Mchuano mkali utakuwa kati ya wanaUKAWA wa zamani. Hapa baada ya wanaUKAWA kugawanyika wataunda kambi mbili, zote hizo zitakuwa zikipambana kuwania nafasi ya kambi rasmi ya upinzani. Hapa ni kwakuwa itakuwa wazi kuwa CCM watashinda kwa kishindo hivyo hawa wawili watajikuta hoja zao ni kuomba ridhaa ya kwenda kuisimamia serikali kama kambi rasmi ya upinzani! Ikumbukwe upande huu mpya wa UKAWA ndipo mwenye ngoma ile walioicheza CDM miaka dahari anapojaribu kuihamishia ngoma yake,hivyo kabla 2019 tunakwenda kupata UKAWA nyingine kubwa na yenye nguvu!
3.Wakati wanaUKAWA hawa wa zamani wakichuana vikali kutafta nafasi ya kambi rasmi ya upinzani, CCM wao watakuwa pale kitonga wakiserereka, wakisubiri tu kujua wameshinda kwa asilimia ngapi! Na sababu kuu hapa ni kuwa tingatinga litakuwa limetifua vya kutosha na kueleweka vilivyo, hivyo kuipeperusha vyema Bendera ya Lumumba, pili, CCM sasa imeondoka kwenye kipindi cha mpito na sasa wameanza kujiorganise wkt watani wao ndo kwanza wanaingia kwenye kipindi cha mpito, tatu chama kimerudi kwa wenyewe hivyo ile CCM tunayoijua yenye fitina za kutosha inakuja nadhani tayari mmeshaona balaa lao.
Mwisho katiba itakayotumika 2020 ni hii ya sasa kama siyo hii ya sasa basi ni ile ya Joka, mpaka hapo mchezo umeshaisha!
Mkuu wakati naandika haya, watu waliona kama utani, na hii ndio shida ya upinzani. Wanaweza siasa za leo, hawana uwezo wa kuona kesho.Mkuu uliona mbali, Chadema ya sasa huwezi kuitofautisha na Chauma yaani ni kama tajiri aliyefilisika na kubakiwa na ndevu tu.
Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayempenda Jiwe. Kama mnabisha, mwambieni aruhusu mikutano ya viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa waende kuzungumza na wananchi kama afanyavyo yeye hata kwa siku moja tu halafu muone watanzania watakavyofunguka.Mkuu uliona mbali, Chadema ya sasa huwezi kuitofautisha na Chauma yaani ni kama tajiri aliyefilisika na kubakiwa na ndevu tu.
Unajihisi ulitabiri, nini kimebadilika? Moto wa CHADEMA umezima? Moto wa 2020 ni zaidi ya 2015 na mtajuta.Pitia Tena huu uzi mkuu!
Hamna cha maana nilichokuelewa hapo,bado una wishful think.......hakuna ulichoongea na kimetokea,unatamani kitokee ili useme nilisema.Tunaanza kuelewana nadhani!
Mwaka 2015 Chama cha Demokorasia na Maendeleo( CDM) kilikuwa ktk kilele chake cha mafanikio. Kama si technical error's walizofanya mwishoni kabisa, kushindwa kumuelewa mwenye ngoma waliyokuwa wakiicheza kwa mda mrefu ,uzoefu wa CCM, CCM kuwa chama Dora na mambo kadhaa ya kikatiba kuhusu uchaguzi ambayo hayajakaa sawa, basi CDM chini ya mwamvuli wa UKAWA walikuwa wanatinga magogoni!
Sasa baada ya tingatinga kuishika magogoni na mwenye ngoma kuanza kufanya kazi zake za asili za miaka yote( kumbuka NCCR ya 1995) sasa mambo yanabadilika kwa kasi mno.
Ni katika mukitadha huu nayaona mambo yafuatayo yakitokea kabla na mnamo mwaka 2020 kwenye medani za siasa kwenye kaya yetu tukufu!
1. CCM itakuwa imerudi kwenye level zake, CCM ile yenye uwezo wa hali ya juu kwenye proganda, CCM ile yenye uwezo mkubwa wa kimafia, CCM ile yenye think Tank zilizibobea, CCM ambayo vijana wadogo kama kina mnyika, Zitto, au tundu Lissu hawawezi kuitikisa hata kidogo!
2. Edward Ngoyaye Lowassa hatagombea uraisi, wengi watakipinga hili, lkn ukweli ni kuwa Lowassa ni mtu anayependa sana sehemu nzuri, anapenda sana ufahari. CDM( UKAWA) ya 2015 ilikuwa kama kigori wa kitutsi, ilikuwa inavutia, ulikuwa inapendwa na kila mtu, ilikuwa oxygen ya watanzania, iliwavutia Maaskofu, Mapadri, Mashehe hadi wachungaji, ninaamini hata mwenyekiti wa Chama aliyepita aliipenda CDM hii, yaani kuna wkt akikaa kwenye tv pekee yake alijikuta akitabasamu mwenyewe akiona jinsi CDM ilivokuwa tamu!
Mwaka 2020 CDM haitakuwa tena sehemu ya kujiskia ufahari, watakuwa wamekataa tamaa, morali itakuwa chini, yaani watakuwa wanapitia kipindi cha mpito baada ya mafanikio yaliyopatikana kwa kutumia nguvu kubwa( kwenye soka tunaita second season syndrome) hali ambayo ni ya kawaida sana baada ya kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hivyo Lowassa kama mtu anayependa ufahari hata kuwa tayari kugombea kupitia CDM iliyo ktk kipindi cha mpito, CDM isiyo fahari, hata kuwa tayari kuona kile kilichomkuta Mrema mwaka 2000 au Lipumba mwaka 2010 kikimtokea yeye! Sana sana atasitafu siasa au atabaki kama Mzee Mtei na kuwaingiza vijana wake au wakwe zake chamani au hata kurudi nyumbani Lumumba!
3.Mchuano mkali utakuwa kati ya wanaUKAWA wa zamani. Hapa baada ya wanaUKAWA kugawanyika wataunda kambi mbili, zote hizo zitakuwa zikipambana kuwania nafasi ya kambi rasmi ya upinzani. Hapa ni kwakuwa itakuwa wazi kuwa CCM watashinda kwa kishindo hivyo hawa wawili watajikuta hoja zao ni kuomba ridhaa ya kwenda kuisimamia serikali kama kambi rasmi ya upinzani! Ikumbukwe upande huu mpya wa UKAWA ndipo mwenye ngoma ile walioicheza CDM miaka dahari anapojaribu kuihamishia ngoma yake,hivyo kabla 2019 tunakwenda kupata UKAWA nyingine kubwa na yenye nguvu!
3.Wakati wanaUKAWA hawa wa zamani wakichuana vikali kutafta nafasi ya kambi rasmi ya upinzani, CCM wao watakuwa pale kitonga wakiserereka, wakisubiri tu kujua wameshinda kwa asilimia ngapi! Na sababu kuu hapa ni kuwa tingatinga litakuwa limetifua vya kutosha na kueleweka vilivyo, hivyo kuipeperusha vyema Bendera ya Lumumba, pili, CCM sasa imeondoka kwenye kipindi cha mpito na sasa wameanza kujiorganise wkt watani wao ndo kwanza wanaingia kwenye kipindi cha mpito, tatu chama kimerudi kwa wenyewe hivyo ile CCM tunayoijua yenye fitina za kutosha inakuja nadhani tayari mmeshaona balaa lao.
Mwisho katiba itakayotumika 2020 ni hii ya sasa kama siyo hii ya sasa basi ni ile ya Joka, mpaka hapo mchezo umeshaisha!
Mkuu soma vizuri nilichokiandika between line, hasa pale nilipoigusia CCM utanielewa, usipende kukurupuka!Mku kipimo chetu kama wanaccm ni kuruhusu mpinzani wako uwanja sawa sasa kipimo chako ni kipi tusije kukalazimisha Sudani ambayo Katibu wetu Ally Bashir anaona hatari yake kama mimi ninavyoiona kwani wapinzani hawapotezi
Try to be Critical soma mstari kwa mstari nilichoandika uelewe. Unapanic nini mkuu, bu the way Lowassa bado yupo CDM? bado ni Rais wa mioyo yenu!?Hakuna mtanzania yeyote mwenye akili timamu anayempenda Jiwe. Kama mnabisha, mwambieni aruhusu mikutano ya viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa waende kuzungumza na wananchi kama afanyavyo yeye hata kwa siku moja tu halafu muone watanzania watakavyofunguka.
Mnapenda kumpamba kwa sifa za kijinga wakati hataki wapinzani wafanye siasa. Kampeni za mwakani Jiwe kwisha habari yake dadadeki.
Mku nimerudia uzi wako kama ulivyoamua kunipa jina ambalo ukurupukaji meona unipe lakini kwa jina Mungu ninayemwamini nalibatilisha lirudi liliko toka kwa Mtu unayekuja na uchambuzi usiokuwa na mantiki kabisa ila ukumbuke mm ni mwanaccm kwa hiyo siongelei uvyama ninasimama kama Mtanzania asiyependa siasa za mabavu.Mwaka 2015 Chama cha Demokorasia na Maendeleo( CDM) kilikuwa ktk kilele chake cha mafanikio. Kama si technical error's walizofanya mwishoni kabisa, kushindwa kumuelewa mwenye ngoma waliyokuwa wakiicheza kwa mda mrefu ,uzoefu wa CCM, CCM kuwa chama Dora na mambo kadhaa ya kikatiba kuhusu uchaguzi ambayo hayajakaa sawa, basi CDM chini ya mwamvuli wa UKAWA walikuwa wanatinga magogoni!