Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

ambulance-jpg.506687

Dah! Nimecheka mpaka machozi yametoka "suruwali ya

ally keisy!!!!??"


endelea mkuu si unaona keissy hapa kwani unadhani namsingizia basi hahaha umenichekesha zaidi uwii
 
Hah...jamaa anaonekana akilenga hakosei
Mkuu Daby kule wapo wengi wa kulenga, hebu cheki hapa. Sasa kama traffic Police unawakuta hawa barabarani, unaanzaje kwenda kwa speed, kwa mfano!!
259.jpg
5015260495_f1f67556df_b.jpg
d8d3b9de6b29.jpg
 
sasa iyo suruali c anapoteza vitambaa tu yani anashindwa shona modo kwl ila kuna baadhi ya pigo km za kessy hv
 
Wanawake wa kikorea huwa ni wazuri sana usoni na miguu ila akigeuka nyuma unaweza kukimbia. Kitu flat screen kabisa tena ile ya samsung ultra slim
 
Back
Top Bottom