certified mdokozi
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 1,402
- 815
HuYu jamaa mtata sana nguo zote size Ya pepe kale ....sema ana kinu kimoja balaaa
Labda kwa sababu north koreans wachache sana wanaweza kupata access ya global internet.yan mtoto wa 1989 huyo...kwa bahat mbaya hakuna taarifa zake nying mtandaoni
haaaaaaa haaaaaaa aHuyu mjinga anafaidi
kwel mkuu sijui alichagua mwenyew au alichaguliwaKumbe jamaa ana mtoto mkali eeeh
Hah...jamaa anaonekana akilenga hakoseikwel mkuu sijui alichagua mwenyew au alichaguliwa
Hahaaaaa hata mm nimeiona, suruali za hivi sivaagi kabisaSuruali bwanga
Hebu taja hiyo nchi mkuuMtoto mkaliiiiiiii km 1st lady Wa nchi Fulani ila kakosa matunzo tu
ha ha haHah...jamaa anaonekana akilenga hakosei
ha ha haUvaaji gani huo jamani