Hehehehkuna sehemu jamaa kavaa sarawili kama ya ally keisy
inaonekana amezoea uharibifu mpaka wa mazingirahuu ni uharibifu wa vitambaa hio suruali ya jamaa kitambaa chake zinatoka mbili
Unataka kuongea kama Roma aya shauli yakoMtoto mkaliiiiiiii km 1st lady Wa nchi Fulani ila kakosa matunzo tu

mkuu utasababisha tz isambaratishwe ndan ya dakika mbili tuNimemkubali..nipe contacts zake
HahahahahhaaaaaaaaaaHahaha nilitegemea kukutana na comment kama hii
nina nia njema tu sio vinginevyomkuu utasababisha tz isambaratishwe ndan ya dakika mbili tu
wife wake anajua kutupianorth korean first lady
kwa jina anaitwa ri sol ju....huyu ndo anaemliwaza bwana mapank baada ya stress za marekan mchana kutwa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
designer wa bwana ake itakuwa alifoji vyetiwife wake anajua kutupia
Hivi ni kweli hizi story???Ex girl wake alimnyonga Ndio hakaoa huyu
Pia jamaa ni hatari
Amenyongo mjomba wake na shangazi yake
Mabinamu Zake wote
Nawatoto Wao wote amefuta kizazi chao chote
Dah,suruali pana kama mfuko wa unga mashineni!Mbona jamaa suruali pana vile ila wife Nyoko sanaa.
Huyu akicheat bomu la nyukilia linatua kifuani pake