Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

Wamekutuma uje uwatetee?? Mm cwez kumheshim mtu aliyetokana na mfupa..tuwale tu
 
pole sana mamii. ila ulijaribu kusali kipindi umeona hayo mabadiliko ya ghafla. mimi naamini kuna wakati huwa wanafungwa kiroho hawaelewi hata wanachokifanya haswa kwa case kama yako.
Baelezee
 
yamenikuta kama yako, lol
nashukuru amenifunza mapenzi ni nini nami naapa sitamtenda ataenipenda.
but,
"i'd rather be alone than being unhappy"
 
Vyuo vimeanza kufungwa sasa, watu wako likizo na form six nao wako mitaani!
 
Back
Top Bottom