Huu ndo muda ambao nimeiona nguvu ya karma

Kuna demu alinipiga chini kwa kishindo akaja akapigwa mimba na kunguru mmoja alipo jifungua tu anaenda nyumbani akakutana na talaka juu....

Alikuwa mzuri lakina sasa hivi kawa kama anafanya kazi kwenye kiwanda cha nyondo....
 
Karma is a bitch: Kwanza tuanze na neno karma, sababu kwenye tafsiri nitalitumia kama lilivyo. Karma ni mkusanyiko wa mambo yote uliyokwishafanya. Iwe kwa maneno, kwa vitendo, ama kwa kufikiri tu. Na mkusanyiko wa mambo hayo ndio hukuletea au hukusababishia uishi maisha unavyoishi sasa au leo. Yaani, yanapokupata mambo mabaya, ni kwasababu huko nyuma ulitenda mabaya, ulisema mabaya, ama ulifikiri vibaya. Na halikahalika yanapokukuta mazuri ni hivyohivyo, kwamba huko nyuma ulitenda mema, ulinena mema, ama ulifikiria mema. Nadhani hapo nitakuwa nimeeleweka kiasi chake.
'Karma is a bitch' maanayake: karma si kitu cha kufurahisha, ama karma si nzuri, au karma inaumiza.
Asante Infopaedia , umelitendea haki pia jina lako.
 
Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli

pole sana mamii. ila ulijaribu kusali kipindi umeona hayo mabadiliko ya ghafla. mimi naamini kuna wakati huwa wanafungwa kiroho hawaelewi hata wanachokifanya haswa kwa case kama yako.
 
Habari bandugu,

Naomba niende moja kwa moja kwenye maada! Mimi ni kijana niliezaliwa miaka ya 90s. Kiukweli tangu nimeingia katika michezo hii ya kugegedana na mahusiano kwa ujumla nimekuwa chanzo cha maumivu na machozi kwa mabinti wengi sana! Sikuwahi kuhisi mapenzi ndani ya moyo wangu.

Nimewagegeda wengi sana na walikuwa wema kwangu lakini bila huruma niliwamwaga mchana kweupe. Tena kwa kashfa kabisa kwamba watafute wanaume wengine sikuwahi kuijua thamani ya mwanamke kabisa, sikuwahi kuogopa machozi ya mwanamke kabisa na hii yote ni kutokana kuwa na mazali sana kwani katika mademu wangu wengi nimetongoza kama watano tu wengine wengi walikuwa wanajaa na wengine walinitongoza wao kiukweli nilikuwa na bahati sana na hawa viumbe [emoji856][emoji856][emoji856]

Nilikuwa hivyo hata chuo sikuwahi kutulia au kumheshimu mwanamke "nilijimegea papuchi na kulala mbele(in mzee wa chato voice) " Lakini baadae nilielewa kale kamsemo ndege mjanja hunasa tundu bovu nilinasa kwa binti mmoja hivi siwezi kuelezea sana nahisi anaweza kujing'amua ikawa kesi! [emoji52][emoji52][emoji52] bhasi huyu binti amenisumbua saana! Kwa kweli nilikuwa nampenda sana na alipojua vituko havikuisha.

Sio kwamba papuchino za nje sikupiga hapana nilikuwa napiga kiaina na nilimuheshimu sana na hakuwahi nikamata(hilo najivunia) vituko vilizidi ikabidi nimwage manyanga japo nilikuwa nampenda saana dah! Hakuna kitu kigumu kuachana kama kuachana na mtu unaempenda.

Mpaka sasa vidonda havijapona kabisa na venye diamond katoa hii nyimbo ya i miss u ndo kazidisha maumivu kwani baada ya kuachana tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kwa sasa mawasialiano amekata kabisa na ndo navyoshuhudia kiasi gani nampenda dah! Nammiss sana ila siwezi kuwa nae kwani nikikumbuka visa vyake nakosa pozi kabisa. Napenda kuchat nae na kuongea nae tu! Ila ndo hataki tena kweli karma is bitch navyofanyiwa ndivyo nilivyokuwa nawafanyia mabinti walionipenda kweli.

MASHABABI WENZANGU NINA NENO KWENU, TUSIWANYANYASE HAWA MABINTI KWANI MATESO WAYAPATAYO NI MAKUBWA SANA. KAMA UNATAKA KUGEGEDA HIT AND RUN SILENTLY USIWE MTU WA KASHFA KWA HIVI VIUMBE NA KAMA UPO KWENYE MAHUSIANO NA HAWA VIUMBE NAOMBA TUWAPENDE SANA AISEEEE! NA NICHUKUE NAFASI KUWAOMBA MSAMAHA WALE VIUMBE NILIOWASABABISHIA MAUMIVU NADHANI WENGINE WAKIUONA UU UZI WATAELEWA.
Umezaliwa mwanzoni mwa 90s au mwishoni. Tuanze na hapo kwanza
 
MTAFUTE DRAKE , ANA DAWA YA HAYA MAMBO, ANAFAHAMIKA KAMA HEARTBREAKER LAKINI WATOTO HAWAACHI KUMTAKA. HADI RIHANAA AMEAMUA KUWAPA WARNING JUU HUYU KIJANA.

LOVE YOURSELF. TREAT YOURSELF.

HIZO TAKATAKA ZA KARMA UTAZISIKIA KWENYE BOMBA.
 
Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom