Umenikumbusha miaka 2 iliyopita X wangu aliniacha kwa nyodo na kashfa kibao ....da!! yaan Sijui alikumbwa na nn yule kaka maana tulishatambulisha na. Kwa wazazi na Pete juu tena kanisani ..gafla alinichukia akawa hataki hata nimshike...nilikua nampenda sana
Nikamwambia nampenda anajibu unajua kupenda wewe??? Wapo wanaojua kupenda sio wewe.....kwanza hata kitandani hua unanibaka tu wewe....nililia sana nilitoka mwanza nalia mpaka arusha. Wasafir wenzangu walijua naenda msibani aiseee.....
Namshukuru Mungu sasa hv anabembeleza tuishi wote sitaki hata kuona sura take
Hajaoa ....
Kazini hapaelewek
Pesa hana
Yaan Mungu mkuu kwa kweli