Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

Ndiyo lengo lake kuu.Kupambsna na wasaliti na vibaraka wa CCM.

Lakini mkuu Molemo ktk shutuma zote zilizoelezwa na hao mnaowaita wasariti wa chama, tukisema ule ukweli na bila owoga yapi ya kweli na yapi si kweli?!.
 
Last edited by a moderator:
Ila CDM nimewakubali kwa jinsi intelligency inavyofanya kazi!! Narudia, CDM mko juu kwa kweli hamna mchezo kwenye mambo ya kitaifa!!

Nasema hivi kwasababu, taarifa niliyoipata mda mfupi uliopita inashangaza sana!! Sitaiweka hapa ili nisiharibu mipango ya watu ila ni suala la mda tu CCM kupitia ACT-Tanzania itaumbuka vibaya na kila mtu atanyoosha mikono kwa CDM!!

Hakika cdm wako makini kuliko nilivyodhani!!
 
Kwa jinsi chadema wanavyotokwa povu huitaji darubini kuitambua nguvu ya ACT.

Huo ni mwanzo mzuri...
Ukiona wanakusema sana jua wanakuogopa.

Unaongelea nguvu ipi ya act? Hii ya lumumba na mawakala wake?Tuna-deal na bwana wa act ambaye ni ccm!
 
Wasaliti watazidi kuumbuka siku hadi siku,Muvi ya ugaidi ilibuma wakaja na matamko part 1 na sasa yameanza part 2 ambayo nayo yatabuma tu.Chezea CDM weye!!!???
 
Kwa nini chadema inawauma sana wafuasi wao kuhamia ACT?

Mkuu ndio Siasa huoni CCM wanavyohangaika na kufuatilia ya CHADEMA ambayo wanadai inakufa but they waste too much time speculating what's going on with them....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lakini mkuu Molemo ktk shutuma zote zilizoelezwa na hao mnaowaita wasariti wa chama, tukisema ule ukweli na bila owoga yapi ya kweli na yapi si kweli?!.

Rich,

Mambo mengine hata wewe unawezakutumia za kwako ukabaini content ya zile tuhuma!!

Sisemi zote ni za uongo ama za ukweli maana sina uhakika wake lakini mfano kuhusu kuvunja katiba kwa kuungana na vyama vingine au kutoka nje ya Bunge, utaona hoja hii haina mashiko! Haiwezekani jambo kama hili ligharim mamilion ya pesa eti kuuliza kamati kuu kama watoke nje au la!!

Kuhusu ukuaji wa chama hata wewe ushahidi unao sasa hivi hadi bibi yangu anaijua CDM kule kijijini!

Masuala ya pesa na ruzuku , hata wao hawana ushahidi, ni kelele tu na bado CAG ameshaikagua CDM, HAKUNA DOSARI!

Ni dhahiri wametumwa!!
 
Last edited by a moderator:
Uwongo na uzushi ndio silaha ya wajinga duniani kote. Fanyeni kazi ya kujenga chama chenu. Acheni kujitungia uwongo na kuzusha mambo. Hatuna muda huo wa kijinga. Nchi hii ni nchi huru yenye kufuata mfumo wa vyama vingi, hakuna namna unayoweza kulazimisha mtu kupenda au kuchukia chama chako au cha mtu mwingine.

Shikamoo Mwl; Dr nimejikuta nasikitika kwa comment yako. Weight uliyonayo sioni kama unalingana na ulingo ulioingia mwl. Usiwe na hasira mwl wangu.

Haufanani na ACT Dr, nimekumbk semina na lect zako Dr. Dah; maisha yanabadilika yatupasa kusali saana kwa kweli.
 
Zitto arudishe zile fedha za NSSF kwanza, mikono yake siyo misafi hata kidogo...atapata shida sana
 
Uwongo na uzushi ndio silaha ya wajinga duniani kote. Fanyeni kazi ya kujenga chama chenu. Acheni kujitungia uwongo na kuzusha mambo. Hatuna muda huo wa kijinga. Nchi hii ni nchi huru yenye kufuata mfumo wa vyama vingi, hakuna namna unayoweza kulazimisha mtu kupenda au kuchukia chama chako au cha mtu mwingine.

Dr don't you think it's high time kuachana na hizi Siasa uchwara na kujikita kwenye taaluma na utafiti?? You have other ways to use your education wisely than these political issues.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Very well said Dr...THANK YOU!!!

Dr don't you think it's high time kuachana na hizi Siasa uchwara na kujikita kwenye taaluma na utafiti?? You have other ways to use your education wisely than these political issues.
 
Huyo Dr ni mganga njaa tu kwanza anajishusha sana alafu ajitambui inshort ni ubongo matope kichwa maji . Poor Dr.
Dr don't you think it's high time kuachana na hizi Siasa uchwara na kujikita kwenye taaluma na utafiti?? You have other ways to use your education wisely than these political issues.
 
Uwongo na uzushi ndio silaha ya wajinga duniani kote. Fanyeni kazi ya kujenga chama chenu. Acheni kujitungia uwongo na kuzusha mambo. Hatuna muda huo wa kijinga. Nchi hii ni nchi huru yenye kufuata mfumo wa vyama vingi, hakuna namna unayoweza kulazimisha mtu kupenda au kuchukia chama chako au cha mtu mwingine.

Nimekudharau sana!
 
Hiyo "Hatuna muda huo..." unamaanisha nyie vibaraka wa CCM au kina nani!?

Jamaa unajitia kitanzi kizembe kweli. Dr gani mganga njaa hivi!?

Tangu alipokubali kununuliwa kwa vilaki viwili kila mwezi na Zitto wa ACT, thamani yake kwa watu wenye akili imedrop kwa kasi ya ajabu! Elimu yake ni kama tope tu
 
Back
Top Bottom