Huu ndiyo mkakati mzima wa CCM kuidhoofisha CHADEMA...

Uwongo na uzushi ndio silaha ya wajinga duniani kote. Fanyeni kazi ya kujenga chama chenu. Acheni kujitungia uwongo na kuzusha mambo. Hatuna muda huo wa kijinga. Nchi hii ni nchi huru yenye kufuata mfumo wa vyama vingi, hakuna namna unayoweza kulazimisha mtu kupenda au kuchukia chama chako au cha mtu mwingine.
Kitila mkumbo wewe ni mchumia tumbo na mganga njaa...huna udokta wowote, wewe ni dokta fake!
Unauza utu wako sababu ya pesa? Kweli?
Nimekudharau sana...unatia kinyaa na kichefu chefu.
 
ubinadamu bora ni kulinda heshima na kuwa na misimamo thabiti Dr Kitila mkumbo plz rudi ktk taaluma kwani ni HESHIMA zaidi//
 
Last edited by a moderator:
Kitila mkumbo wewe ni mchumia tumbo na mganga njaa...huna udokta wowote, wewe ni dokta fake!
Unauza utu wako sababu ya pesa? Kweli?
Nimekudharau sana...unatia kinyaa na kichefu chefu.

Aisee...Kumbe wengi wamekasirishwa na vitendo vyake viovu
 
Lakini mkuu Molemo ktk shutuma zote zilizoelezwa na hao mnaowaita wasariti wa chama, tukisema ule ukweli na bila owoga yapi ya kweli na yapi si kweli?!.

Ya ukweli ni kwamba hao ni vibaraka waasi wachumia Tumbo.Waliouza utu wao kwa vipande 30 vya Fedha.
 
Last edited by a moderator:
Ila CDM nimewakubali kwa jinsi intelligency inavyofanya kazi!! Narudia, CDM mko juu kwa kweli hamna mchezo kwenye mambo ya kitaifa!!

Nasema hivi kwasababu, taarifa niliyoipata mda mfupi uliopita inashangaza sana!! Sitaiweka hapa ili nisiharibu mipango ya watu ila ni suala la mda tu CCM kupitia ACT-Tanzania itaumbuka vibaya na kila mtu atanyoosha mikono kwa CDM!!

Hakika cdm wako makini kuliko nilivyodhani!!

Mkuu subiri utashuhudia makuu zaidi.Hakuna Saliti atakayebaki salama.

Kila wasaliti watatu watakapokutana kufanya mipango miovu dhidi ya upinzani ujue mmoja wao ni mtoa siri wetu.

Hata wakifanyia vikao mvunguni mwa kitanda lakini kesho yake ushetani wao wote utaanikwa peupe.
 
Wasaliti watazidi kuumbuka siku hadi siku,Muvi ya ugaidi ilibuma wakaja na matamko part 1 na sasa yameanza part 2 ambayo nayo yatabuma tu.Chezea CDM weye!!!???

Matamko yanaandaliwa Lumumba wanapewa na hela ili wakayasome.Ama kweli njaa ni kitu kibaya sana!
 
Shikamoo Mwl; Dr nimejikuta nasikitika kwa comment yako. Weight uliyonayo sioni kama unalingana na ulingo ulioingia mwl. Usiwe na hasira mwl wangu.

Haufanani na ACT Dr, nimekumbk semina na lect zako Dr. Dah; maisha yanabadilika yatupasa kusali saana kwa kweli.

Hakika umempa mawaidha mazuri sana.Asante sana!
 
Kitila mkumbo wewe ni mchumia tumbo na mganga njaa...huna udokta wowote, wewe ni dokta fake!
Unauza utu wako sababu ya pesa? Kweli?
Nimekudharau sana...unatia kinyaa na kichefu chefu.

Huyu ni Lecturer wangu, ila kwa sasa siwezi kusimama mbele za watu na kusema huyu ni mwalimu wangu, anatia kinyaa, jinga sana.
 
Huyu ni Lecturer wangu, ila kwa sasa siwezi kusimama mbele za watu na kusema huyu ni mwalimu wangu, anatia kinyaa, jinga sana.

Duh..!! Inasikitisha sana kwakweli.Tumuombe Mungu sana jamani hizi roho za Ibilisi zituepuke.
 
Dr don't you think it's high time kuachana na hizi Siasa uchwara na kujikita kwenye taaluma na utafiti?? You have other ways to use your education wisely than these political issues.

Naona watu wengi mmeweka siasa pembeni na kumpa Dr Kitila ushauri wa kumsaidia yeye na Familia yake.

Ni vigumu sana kuangamiza upinzani nchini kama anavyotamani iwe.Nyakati hizi ni zama nyingine kabisa.
 
Daah aisee hawa jamaa ni mazuzu sana..Jana nikuwa napita maeneo ya ofisi za msajili nkamuona Mchange jasho linamtoka akiwa na wenzake.
Kutumika kubaya aisee..
 
Huyo Dr ni mganga njaa tu kwanza anajishusha sana alafu ajitambui inshort ni ubongo matope kichwa maji . Poor Dr.

Kusaliti mageuzi ni gharama kubwa sana.Mungu amjalie ajitambue na arudi kwenye mstari.
 
Daah aisee hawa jamaa ni mazuzu sana..Jana nikuwa napita maeneo ya ofisi za msajili nkamuona Mchange jasho linamtoka akiwa na wenzake.
Kutumika kubaya aisee..

Yule Mchange aliyedraw zile hela za NSSF? Huyu si ndiye mratibu wa ACT kanda ya Pwani? Naye bado anajiita Chadema? Ama kweli njaa mbaya sana.
 
Lakini mkuu Molemo ktk shutuma zote zilizoelezwa na hao mnaowaita wasariti wa chama, tukisema ule ukweli na bila owoga yapi ya kweli na yapi si kweli?!.

Na wewe unataka kutuletea ujinga kama vile mgeni wa siasa za nchi hii! Bila woga jitahidi kusearch humu jf utapata threads nyingi zenye ushahidi wa hicho unachokiuliza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom