Kitila mkumbo wewe ni mchumia tumbo na mganga njaa...huna udokta wowote, wewe ni dokta fake!Uwongo na uzushi ndio silaha ya wajinga duniani kote. Fanyeni kazi ya kujenga chama chenu. Acheni kujitungia uwongo na kuzusha mambo. Hatuna muda huo wa kijinga. Nchi hii ni nchi huru yenye kufuata mfumo wa vyama vingi, hakuna namna unayoweza kulazimisha mtu kupenda au kuchukia chama chako au cha mtu mwingine.
Unauza utu wako sababu ya pesa? Kweli?
Nimekudharau sana...unatia kinyaa na kichefu chefu.