Huu ndio uzalendo wa kweli?

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774


Jamaa kachukua vibendera vya Tanzania kaenda kushonea mifuko ya shati kuonyesha uzalendo, au?

Afadhali hata shati lingekuwa lina rangi angalau mojawapo ya bendera, maana inaonekana ni kituko cha fashion sasa.
 
kwa akili za bwana mkubwa, anaweza kuamuru suti za mawaziri na makatibu wakuu wote zishonwe misili hiyo
 
Ni kupoteza muda kumshangaa mtu ambaye mshipa wa aibu umekata
 
Huuuuu hahaaaa nyauuuuu ....chezea nija wa kijita wewe! Hahahaaaaa
 
yule aliefukuzwa alikuwa anavaa shingoni nmemsahau Jina makusud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…