Huu Ndio Utajiri Wa Hosni Mubarack

Huu Ndio Utajiri Wa Hosni Mubarack

Ni kweli, na inasadikiwa huenda akawa ni tajiri zaidi kuliko hata Bill gates.
Source: Yahoo news this morning.
 
JK ana kiwanda cha sembe pale kibaha
 
duh,Jk ana mfukuzia i guess

Huyu mkwere nae kajilimbikizia fedha si haba, lakini ujinga wake amewekeza na wahindi wakina Subash ambao huko mbele lazima watakujakumliza kama alivyolizwa mswahili mwenzie Kighoma Malima!!
 
Back
Top Bottom