umejitahidi kuweka picha zinazovuta hisia, ingawa mwisho wa siku, si mimi wala wewe, atakaye cheka. Tuombe Mungu aendelee kutupa Utulivu na uvumilivu tulionao (kwa kuwa wengi sasa wanadai kuwa hatuna amani, bali ni uvumilivu)
So touching Mbuzi Mzee aisee, i wish hii ingekuwa katika kila bango barabarani, lakini pamoja na wishful thinking watanzania watayapita tu bilakuona umuhimu wake, kana kwamba wameazima macho yao nchi jirani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.