Kwanini Makocha wa Kitanzania hawaendi kufundisha nje ya nchi?

Subiri miaka mitatu utawaona tu, kuna kocha wa prison fc kuna kocha wa costal na wengine wengi ndio wanafanya ligi iwe ngumu ko ni suala la muda tu kama hujaelewa waulize watu wa simba fc
 
Kwa maoni haya nakukubalia new coaches baadhi wako vzr
 
Sasa uende kufundisha mpira Kenya au Burundi ambako ligi ni dhaifu, na mshahara kupata ni shida...
 
Back
Top Bottom