Huu Ndio Unyama wa Kitanzania, na Wabongo wapo Kimyaaaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
188533_490819554292205_916067254_n.jpg
 
Kuna mmoja ali2humiwa kuua ila kwass ni marehem,,,huyo ndo kabisaa alikua akipitishwa kwenye mlango wa Hakimu!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
umejitahidi kuweka picha zinazovuta hisia, ingawa mwisho wa siku, si mimi wala wewe, atakaye cheka. Tuombe Mungu aendelee kutupa Utulivu na uvumilivu tulionao (kwa kuwa wengi sasa wanadai kuwa hatuna amani, bali ni uvumilivu)
 
So touching Mbuzi Mzee aisee, i wish hii ingekuwa katika kila bango barabarani, lakini pamoja na wishful thinking watanzania watayapita tu bilakuona umuhimu wake, kana kwamba wameazima macho yao nchi jirani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom