Huu ndio ukweli, kongosho na wenzako bisha tuone!!!

Huu ndio ukweli, kongosho na wenzako bisha tuone!!!

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
492
Wahenga walisema hivi "Ukiona umeoa mke ambaye sio BIKRA, tambua kuwa umeazima mpenzi wa mtu au huna tofauti na mtu aliyefuga NYOKA kwani ipo siku atakumbuka kurudi polini"
HAYA WAJAMENI KAMA NA WEWE ULIPATA WA HIVYO, KUBALIANA NA MATOKEO YA UTAFITI HUO.
Usiku mwema.
 
Vise verse is true... Ukiolewa na mume asiye bikra!
 
unaongelea bikra ipi?ya mbele au ya nyuma!usiwejinga sikuizi wanatoa tg mbele hawataki.
 
unaongelea bikra ipi?ya mbele au ya nyuma!usiwejinga sikuizi wanatoa tg mbele hawataki.
Nafikiri wewe ndiye jinga kuliko! Na hujui unachokiongea kwa kuwa unaongea mambo ambayo si ya umri wako. Subiri ukikua utajua nini maana ya bikra kwani unayojua wewe ni yale ya kwenye cinema za kumbi za magunia.
 
naona humu jf watu mmeamua sasa kuidhalilisha taasisi ya ndoa. mungu awalaan wote wanaotaka kuifanya taasisi hii takatifu ionekane haina maana. amina.
 
nimepita tuu sina jipya mie..maana mada km hizi utaongea had utamkufur m/ungu...wajinga hawaishaj kwa pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom