NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Kwanza nawapa pole ndugu zetu Wakenya kwa janga lililotokea leo!
Nadhani wote tumeona yanayotokea kwa majirani zetu!
Tunaomba vyombo vyetu vya ulinzi vijipange kikamilifu kwa majanga kama haya, na ikibidi sasa kianzishwe kikosi maalumu cha kupambana ishu kama hizi zinapotokea maana hatuwezi kusema tutakuwa salama muda wote.
Nchi zingine wana vikosi maalumu kabisa kwa ajili ya kucounter attack pindi magaidi wanapofanya uvamizi kama huu, naona hapa Tanzania kuna FFU tu ambao wamespecialize tu kwenye Kutuliza Ghasia na Fujo za raia!