Huu ndio ugaidi sasa sio zile muvi za mapangoni!

Huu ndio ugaidi sasa sio zile muvi za mapangoni!

tusiombe hawa magaidi wakaingia tz maana itakuwa ishu
Hawa magaidi wa Kisomali tayari wamesjaingia Tz. Wakiwamaliza tu TEMBO wanatugeukia na sisi!! CCM kwanini mnaliingiza Taifa kwenye maafa??
 
Ugaidi ni kitu kikubwa na hatari Sana. Tatizo polisi wetu wanatumia Kama kigezo cha kisiasa. Wakati mwingine ujambazi, vibaka au hata uarifu wa kawaida tu utasikia ugaidi. Madhara yake wananchi wanaandaliwa kisaikorojia kwa aina ya ugaidi ambao sio halisi/fake. Siku ugaidi ukitokea Kama huku tunaouona knya wengi watakufa kwa stress na heart attacks. Na hofu itakuwa sio ya kawaida.

Hali alisi ni hofu juu ya mbwa mwitu ambao hawakuwa hata na panga lkn jiji zima lilisimama kwa siku mzima.

Tunatakiwa kuwa serias. Police lzm waachane na siasa wafanye kazi zao.

Najua TZ sisi ni bora Sana kwa ulinzi lkn siasa zisituaribu.

Point of correction :Nadhani ulimaanisha PANYA ROAD, na pia sI kweli kwamba hawakuwa hata na Panga!
 
Nitashangaa kama Tanzania mpaka sasa hatuna kikosi maalum cha kupambana na ugaidi.
 
mkuu kama hujui si uulize tu uambiwe. badala ya kulalamika kama kondoo anayechinjwa. vikosi vya kupambana na magaidi vipo.

Aisee wewe hebu acha utani mkuu,usiwaamini wanasiasa.hicho kikosi cha ugaidi kiko wapi?kikoje?msiwaone wakenya wanaenda na vifaru mkadhani hawana akili.
 
Back
Top Bottom