Huu ndio Uanaume wa kweli

Huu ndio Uanaume wa kweli

Acha uvivu wa kusoma

Maandiko yangu, yame base kwenye ya alichoandika mada

Kiufupi tu anataka kutupa dhana ya u gentle man ndio uanaume, kitu ambacho si sawa

Heshima ya uanaume ipo determined na factors nyingi, na wanawake wengi kwao kuwafanyia kila kitu wanachotaka bila kuhitaji kitu flani in return wanakuona boya, wengine watajiuliza kama umzima au mgonjwa
Hiyo uliyoongeza ni topic nyingine. Ukiongelea watu waliopo kwenye mahusiano ni kitu kingine na ni topic nyingine tofauti kabisa. Fanya uianzushie uzi hiyo topic yako nitakuja kutoa mtazamo wangu sasa hivi tujikite hapa
 
Huyu alieandika hii mada nina wasiwasi kama sio bana Zuri (nikki wa pili) maana ndio anatabia ya kutafta ujiko kwa mademu baada ya kuzaliwa mtoto wakike.

Back to the matter!

1.Kuna wanawake wanatengeneza mazingira ya kugongwa wakiwa na lengo hilo toka mwanzo kwa kupitia msaada atakaoomba kwako. Hapa kama gentleman utaonekana shoga.. Mwanamke huyu amefungamana kihisia na mwanaume husika.

2. Kuna wanawake ambao hawana nia hio ovu ila hujikuta wametaitika tu inabidi watoe tu kiishe ila halikuwa lengo. Hapa ndio kama gentleman utaheshimika kwa maamuzi ya kupotezea tu fadhila. Mwanamkr huyu hajafungamana kihisia na ME husika.

Lazma tujue kutofautisha.
 
Umenena kweli mpenzi, kuna mabazazi wanalazimisha eti usipoomba K mwanamke atakuona boya. Si kweli kabisa
 
Hii lugha ya kahaba. Kwani mlipokuwa mnapeana mnakuwa mliongea mambo ya mzigo?

Hahahaaaa! Lugha ya kahaba! Ni hivi best, unamkuta binti amekwama mahali! Keshakata tamaa, unamsaidia mpaka anarudi kwenye mstari!! Kitachofuata ni kukutunuku au mwingine mshenzi kabisa anakusema hovyo!!

Hakuna lugha wala ishara unayomuonyesha ila ndiyo hivyo! Shida ni kwamba 'baadhi' ya wanawake hudhani 'k' ndiyo malipo ya fadhila aliyopata kutoka kwa mwanaume!!
 
Toka nizaliwe ndo kwanza naona post ya ajabu

Yaani mwanaume nitumie muda wa kumpa moyo mwanamke ambaye wewe huna mnunulia gari CROWN nyeusi alafu unakuta ame park mbagala kwa bwana wake anatoa papuchi
 
Yani ndo nipo hivo kabisaaaa.Mpaka wadada naowasaidiaga wengine wananishangaa, wengine wanasema wenyewe "tamuuuuu naomba nikupe papuchi tuu,me nitajisikia vizur nikikupa"
Lakini bado nakataa.

Saidia tuu,usiwe mtu wa malipo.Mungu atakupa tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akiii
 
Psychology inaonesha wanawake hawapendi/hawavutiki kwa Ma Mr. Nice Guys (ukimuuliza atabisha ila kiuhalisia katika kuishi ndivyo inavyokuwa)

Wanawake wanapenda wanaume bandidu flani, si katili, ILA BANDUDU FLANI

Nadhani kuna watu

Hahahhaa nineandika kapara moyo ukasrma manengelo futa bwana!kudos
 
Some fellow guys need to hear this.

Before you plan to impress your girlfriends, make sure your mother is not starving at home.
 
Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako

Thanks me later
Maneno ya kujifariji hayo
 
Psychology inaonesha wanawake hawapendi/hawavutiki kwa Ma Mr. Nice Guys (ukimuuliza atabisha ila kiuhalisia katika kuishi ndivyo inavyokuwa)

Wanawake wanapenda wanaume bandidu flani, si katili, ILA BANDUDU FLANI

Nadhani kuna watu wamenielewa hapa
Yap,wanatupenda gangsters kama sisi,hiyo nina uhakika,mademu niliodate nao huwa wanajiproud kwa rafiki zao kuwa mimi ni muhuni,mgumu,muuza ngada, kauzu
 
Day moja back in time nlitoka Iringa naenda Dom nadrive kagari kangu mkweche flan, kufika Mtera kabla barabara haina Lami i think ilikua 2011, mida ya sa9 alasiri nkampakia mdada teacher ametoka BTP alikua anasoma CAPITAL TC,
mvua ilikua kubwa saana gari ikazingua saana njiani tukafika Dom saa6 usiku na yeye anakaa NARA wa Dom wanajua. Ikabidi alale kwangu tukalipana fadhila yakaisha[emoji12][emoji12]
Alikua chombo lakini???
 
Back
Top Bottom