Huu ndio Uanaume wa kweli

Huu ndio Uanaume wa kweli

Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako

Thanks me later
Acha kuwadhalilisha wanawake. Ina maana wao ni wadhifu kiasi hicho mpaka watumike kama kipimo cha uanaume? Kwani ukiwatia moyo wanaume na ukawjenga upya bila kudai chochote huo hautakuwa uanaume? Achakuwadharau mademu a k a vyombo vya st....e. Kwanza ukimsaidia afu ukangonoka nae ndio anakuwa comfortable zaidi . kwani atahisi naye amelipa fadhira . kuliko kumsaidia af usimgegede , hata kuwa na amani .
 
Day moja back in time nlitoka Iringa naenda Dom nadrive kagari kangu mkweche flan, kufika Mtera kabla barabara haina Lami i think ilikua 2011, mida ya sa9 alasiri nkampakia mdada teacher ametoka BTP alikua anasoma CAPITAL TC,
mvua ilikua kubwa saana gari ikazingua saana njiani tukafika Dom saa6 usiku na yeye anakaa NARA wa Dom wanajua. Ikabidi alale kwangu tukalipana fadhila yakaisha[emoji12][emoji12]
 
Unanikumbusha jirani yetu wakati baba Mwanajeshi, mkewe alikua mwalimu yaani mshahara ukitoka mjeda anaenda kuchua salari mbili mke anapewa ya matumizi na amani ipo[emoji1][emoji1]

Natamani kuona mwalimu aisee[emoji6][emoji6]
Hahaha hahaha
Nakukabidhi vyote, ukitoa salary unakuja unanipa! Ndo raha hiyo
 
Unanikumbusha jirani yetu wakati baba Mwanajeshi, mkewe alikua mwalimu yaani mshahara ukitoka mjeda anaenda kuchua salari mbili mke anapewa ya matumizi na amani ipo[emoji1][emoji1]

Natamani kuona mwalimu aisee[emoji6][emoji6]
Wapo wengi saaana hao walimu!
kila kitu ni mipango tuu na makubaliano
 
Back
Top Bottom