Huu ndio Uanaume wa kweli

Huu ndio Uanaume wa kweli

Unaumwa wewe[emoji1][emoji1]
Yani ndo nipo hivo kabisaaaa.Mpaka wadada naowasaidiaga wengine wananishangaa, wengine wanasema wenyewe "tamuuuuu naomba nikupe papuchi tuu,me nitajisikia vizur nikikupa"
Lakini bado nakataa.

Saidia tuu,usiwe mtu wa malipo.Mungu atakupa tu.
 
Psychology inaonesha wanawake hawapendi/hawavutiki kwa Ma Mr. Nice Guys (ukimuuliza atabisha ila kiuhalisia katika kuishi ndivyo inavyokuwa)

Wanawake wanapenda wanaume bandidu flani, si katili, ILA BANDUDU FLANI

Nadhani kuna watu wamenielewa hapa
 
Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako

Thanks me later
Ni kweli kabisa ila mpaka wanaume wa kiafrika wakuelewe utatumia karne mbili kama si tatu.
 
Tunasaidia mwisho wa siku unaonekana tonji. Yaani alitegemea umtongoze.

Ila wee tenda jema bila kujali mrejesho wowote. Ukubwa jalala...
 
Back
Top Bottom