Bora lawama kuliko fedhehaMi mwanaume wa uongo, yaani msaada bila fadhila ni unyonyaji, akiondoka baada ya msaada anakuona POYOYO kabisa, spendi dharau kabisa[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji851][emoji851]
Mmmh
Sijui kama huyo ni mwalimu mkuu
Sawa MkuuNdo hivyo sakayo. Sisi tumo humu tuna taarifa za watu wote.
Sidhani kama kuna mtu atakuona poyoyo, mimi binafsi huwa namheshimu sana mtu anayetoa msaada bila kutegemea malipoMi mwanaume wa uongo, yaani msaada bila fadhila ni unyonyaji, akiondoka baada ya msaada anakuona POYOYO kabisa, spendi dharau kabisa[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji851][emoji851]
Sasa ukimsaidia mtu unataka asiwe na mpenziWe nani alikwambia mwanamke huwa anashukrani pole sana, we saidia wenzio wanaenda kugonga bure na wanatumia ulichomuwezesha
HakikaNipo pamoja na wewe
Usirejee nyuma kwa critics zozote utakazoziapata kizazi kimejaa wazinifu
Kama ilivyo asilimia kubwa ya JF
Kwa hiyo kuwa bandidu maana yake ni kutaka malipo ya chupi kila unaposaidiaPsychology inaonesha wanawake hawapendi/hawavutiki kwa Ma Mr. Nice Guys (ukimuuliza atabisha ila kiuhalisia katika kuishi ndivyo inavyokuwa)
Wanawake wanapenda wanaume bandidu flani, si katili, ILA BANDUDU FLANI
Nadhani kuna watu wamenielewa hapa
Kwako wewe babaMi nakumbushia tu HAKUNA MSAADA USIO NA LENGO[/u]
Kama unatokea familia ya kishua ambao hawahitaji msaada wako sawa, ila hizi familia zetu za kiafrika hizi mmmhUnanikumbusha jirani yetu wakati baba Mwanajeshi, mkewe alikua mwalimu yaani mshahara ukitoka mjeda anaenda kuchua salari mbili mke anapewa ya matumizi na amani ipo[emoji1][emoji1]
Natamani kuona mwalimu aisee[emoji6][emoji6]
Nitakutafuta popote ulipo tuuu @ Sakayo
AbeeeeNitakutafuta popote ulipo tuuu @ Sakayo
Hata mimi nipo hivyo hivyo...@Khantwe naweza kukupa chochote utakacho na nisitake papuchi...ndivyo nilivyo...labda siku uamue mwenyewe tuu...naamini katika kutenda wema haswa kwa wadada kulingana na mfumo dume unavyowaonea.sipendi tena sipendi kabisa Nione Khantwe unapata Taabu naanza na wewe kwanza.sipendi nione wadada mnahangaika wakati mimi nipo.Baada ya kugraduate nilipata kazi kwenye kampuni inayomilikiwa na mtu mmoja tunayefahamiana naye, yule baba ni ana roho nzuri jamani...ilikuwa nakaa kwa mtu ambapo ni mbali hadi kufika kazini napanda gari tatu, yule boss akawa ananisaidia ananipeleka hadi sehemu ambapo linakuwa limebaki gari moja, siku asipokuwa na nafasi anamtuma mtu hapo nauli nimepewa. Baadae akaniambia nitafute chumba akanilipia kodi ya miezi sita. Watu wengine wasiomjua wakasema haiwezekani K huyu boss wako anakutaka ila yeye wala hakuwa na hiyo habari hiyo tulikuwa tunaheshimiana kama dada na kaka
Mjini kubwa sehemu gani?Abeeee
Niko hapa mimi jamani
Hongera mkuu, huu ndio tunaita utu wemaHata mimi nipo hivyo hivyo...@Khantwe naweza kukupa chochote utakacho na nisitake papuchi...ndivyo nilivyo...labda siku uamue mwenyewe tuu...naamini katika kutenda wema haswa kwa wadada kulingana na mfumo dume unavyowaonea.sipendi tena sipendi kabisa Nione Khantwe unapata Taabu naanza na wewe kwanza.sipendi nione wadada mnahangaika wakati mimi nipo.
Kuna mdada humu niliwahi kumsaidia tena wala simjui na wala hatujawahi kukutana,nilimpa nafikiri ilikuwa 50,000 nikatuma ilikuwa mwaka jana mwanzoni,halafu mpaka leo sijawahi kumtafuta wala sina mpango huo,Thats me.
Niko hapa mimi!Mjini kubwa sehemu gani?
halafu wee?
Hata Khantwe pia unakaribishwa,sina ubaguzi,cha msingi uwe serious.Hongera mkuu, huu ndio tunaita utu wema
Naomba unijulishe wapi ntakupata waweza nicheki Private kama itakupendeza kabla sijabadili mawazo.Niko hapa mimi!
Mbona weee tena jamani, unanitisha ujue!