Mbona umekuwa serious ghafla aki!!Naomba unijulishe wapi ntakupata waweza nicheki Private kama itakupendeza kabla sijabadili mawazo.
Tuombe Uzima wakati huo niwe na moyo huu huu,siku hazifanani,But napenda Mtu mkweli sio kunijaribu KhantweUbarikiwe [emoji3][emoji3][emoji3] siku maji yakizidi unga nitakutafuta
Hapana niko poa tuu Rafiki,utakapokuwa Tayari utanicheki, hapana wala siko serious rafiki,ila utakapojisikia just check me,ila sio sasa hivi,najua sasa hivi unaweza kuwa influence nk,utakapotulia kabisa ndo unicheki.Mbona umekuwa serious ghafla aki!!
Nini mbaya, mefanya nini mimi
Mi mwanaume wa uongo, yaani msaada bila fadhila ni unyonyaji, akiondoka baada ya msaada anakuona POYOYO kabisa, spendi dharau kabisa[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji851][emoji851]
Hamna nimesema tuu kujaribiwa but note serious,take it easy just kiding on kujaribiwa,najua hakuna mambo ya kujaribiwa kwenye hili.kila la kheri Mrembo KhantweKwa nini ujaribiwe mkuu
Mmmh!Hapana niko poa tuu Rafiki,utakapokuwa Tayari utanicheki, hapana wala siko serious rafiki,ila utakapojisikia just check me,ila sio sasa hivi,najua sasa hivi unaweza kuwa influence nk,utakapotulia kabisa ndo unicheki.
Mbona hujiamini una mashaka na uanaume wako.Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako
Thanks me later
Kama huyu kaka wa jf aiseee ubarikiwe sana nasubiria hiyo safar ya mbeyaaaaaaa wewe ndo mwanaume kamili
Hii lugha ya kahaba. Kwani mlipokuwa mnapeana mnakuwa mliongea mambo ya mzigo?You are right!! Hii ndiyo shida ya wanawake zetu wa Kibongo!! Ukimpa msaada bila kumuomba malipo (sana sana ngono) anakuona danga/poyoyo!!
Na mbaya zaidi hatajali msaada uliompa, atakusema vibaya kuwa kakuchuna na mzigo hajakupa!! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji35]
Nimeongelea generallyKwa hiyo kuwa bandidu maana yake ni kutaka malipo ya chupi kila unaposaidia
Ni miezi mingapi tangu awe mwema hivyo, inawezekana awe hana mpango wa mapenzi ila ana mpango mwingine, jipe muda.... Hatuombei mabaya/mazuri lakini muda utaongeaBaada ya kugraduate nilipata kazi kwenye kampuni inayomilikiwa na mtu mmoja tunayefahamiana naye, yule baba ni ana roho nzuri jamani...ilikuwa nakaa kwa mtu ambapo ni mbali hadi kufika kazini napanda gari tatu, yule boss akawa ananisaidia ananipeleka hadi sehemu ambapo linakuwa limebaki gari moja, siku asipokuwa na nafasi anamtuma mtu hapo nauli nimepewa. Baadae akaniambia nitafute chumba akanilipia kodi ya miezi sita. Watu wengine wasiomjua wakasema haiwezekani K huyu boss wako anakutaka ila yeye wala hakuwa na hiyo habari hiyo tulikuwa tunaheshimiana kama dada na kaka
Uanaume haupimwi kwa idadi ya wanawake uliolala nao unapimwa kwa idadi ya wanawake uliowatia moyo, uliowajenga upya, uliowapa tumaini jipya la maisha, na kuwalinda bila kuwahitaji kimwili au kwa malipo ya pesa. Unapokua mwanaume halisi, kuridhika kwako
Thanks me later
Ni siku nyingi sana zimepita, nilikaa kwake kama mwaka mmoja na nusu na mpaka kesho tunaheshimiana, huwa tunaonana mara mojamojaNi miezi mingapi tangu awe mwema hivyo, inawezekana awe hana mpango wa mapenzi ila ana mpango mwingine, jipe muda.... Hatuombei mabaya/mazuri lakini muda utaongea
Umeandika ligazeri lireeefu lisilo na maana (in fact sijasoma lote) labda nikujibu hapo kwenye ulipaji wa fadhila...hiyo uliyoongelea ni ubinadamu wa kawaida, hata ndugu yangu nitafanya hivyo. Kumbuka hapa tunaongelea MALIPO YA PAPUCHI... ndio hicho ninachokataa mimi. Kama ni kulipa wema kawaida mbona hiyo ipo. Hivi wewe mimi kila Kwa mfano umezoea kunisaidia siku unaniambia K kuna mzigo wangu unashuka pale ubungo ila sina nafasi ya kwenda naomba unichukulie unipelekee Gongolamboto..kwa nini nikatae? Ni ubinadamu wa kawaida sio kwa wanawake tuNimeongelea generally
Psychology ya wanawake (Acha tuseme binadamu) akiwa conditioned na kitu flani hata kiwe kizuri vipi, atakizoea, halafu ataona kawaida tu, halafu kinakuwa boring baada ya muda mrefu
Yaani demu akiomba hela, fasta unakimbia bank/mpesa unampa, kila siku anayoomba hela wewe unayo...... Hata kama unayo, kuna siku mwanaume uwe hauna. Sio kila akiomba laki anapata laki (labda awe na shida genuine) siku nyingine mpe hata hamsini elfu. Akiomba 20 elfu mpe hata elfu 10,maisha yataendelea, na mwanamke atakupenda mwanaume hataamini
Akipiga simu saa mbili asubuhi upo available, saa 7 mchana upo available, saa 8 usiku upo available. Ukiwa hivyo kwa mwanamke unaboa, unakuwa sio interesting kwake. Akikuandikia meseji, unamjibu Baada ya sekunde 10,hahahaha mwanamke atakushangaa, it's like huyu jamaa hana maisha nje ya mimi? hana kingine anachofanya? (kumbuka hii kitu ni ikiwa in the long term run)
Ukimkosea mpenzi wako unaomba msamaha hadi magoti unapiga. No, hapo hata mwanamke anakudharau, ukimwambia let's forget about the past, it won't happen again, atakuelewa, asipokuelewa huyo haelewi, ni sikio la kufa ambalo halisikii dawa, maisha yataendelea. Mademu wengi huwa wanarudi wenyewe hata akinuna siku mbili tatu au wiki fresh. Mwanaume hutakuwi kuwa so needy, Mr. Nice Guys huwa wanatafsiriwa na wanawake kama so nnedy, wanatafsiriwa na wanawake hawana confidence na hiyo ni mbaya kwenye mahusiano
Unamtendea wema, hutaki return...... Hiyo return sio lazima kula papuchi, ask anything from her, hata akusindikize sehemu, she should give something for her to feel good (unaweza kukataa, lakini kiuhalisia katika kwenye maisha ipo hivyo, acha mawazo ya kitamthiliya). Mfano how will you feel, kila siku nikiwa nakupa vitu, ukihitaji msaada nakupa, halafu siku umejitutumua, umeninulia kashati nikasema ASANTE, nashukuru (NIKAKATAA). Utajisikiaje (kama una real feeling za kunipa zawadi, acha hizi feeling za siku hizi za kidoti Com)
Swali la mwisho la kizushi, imewahi kushuhudia uhusiano flani, ukashangaa na kujiuliza maswali mengi bila majibu?
Umewahi kushuhudia mwanaume mbaya ana demu mkali, sometime huyo mwanaume hana hela kiivyo(kisaikolojia ubaya wa mtu usoni unaweza kuhisiwa na moyoni upo hivyo? Mfano ni rahisi kudhani jambazi yoyote ni mtu mweusi sana, mwenye sura mbaya yenye makovu kuliko, kudhani kuna majambazi ma handsome). Sababu ya kisaikolojia inaonesha hii factor ndio sababu ya wanawake wazuri, kuwa kwenye mahusiano na wanaume wasio na muonekano mzuri.
Mfano mwingine, umewahi kushuhudia mwanamke mzuri lakini anakomaa kukaa kwenye uhusiano ambao jamaa hamdekezi na jamii inaweza kutafsiri kuwa jamaa anamtesa? Jibu ni hiyo sababu ya kisaikolojia niliyokupa.
Pia umewahi kushuhudia wanaume wema (Mr. Nice Guys) hawadumu kwenye mahusiano na wanajiuliza wanakosea wapi, na hawapati majibu? Hiyo sababu ya kisaikolojia niliyoitaja ndio msingi wake.
Kwa hiyo kuwa Mr. Nice Guys huwa sio suluhisho la kuonekana mwanaume wa ukweli. Wanawake wengi wanawaona Ma Mr. Nice Guys kama wanaume wa uongo, not manly men.
Acha uvivu wa kusomaUmeandika ligazeri lireeefu lisilo na maana (in fact sijasoma lote) labda nikujibu hapo kwenye ulipaji wa fadhila...hiyo uliyoongelea ni ubinadamu wa kawaida, hata ndugu yangu nitafanya hivyo. Kumbuka hapa tunaongelea MALIPO YA PAPUCHI... ndio hicho ninachokataa mimi. Kama ni kulipa wema kawaida mbona hiyo ipo. Hivi wewe mimi kila Kwa mfano umezoea kunisaidia siku unaniambia K kuna mzigo wangu unashuka pale ubungo ila sina nafasi ya kwenda naomba unichukulie unipelekee Gongolamboto..kwa nini nikatae? Ni ubinadamu wa kawaida sio kwa wanawake tu