Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Sasa ukikabidhi watu wakuendeshee maana yake ni kwamba wewe uliyekabidhi huna tena chako ? Hii michezo tu ya kutumia kalamu hamna lolote
 
Sidhan kama umeolewa hata chembe ya maada mzima mkuu
Read btn the lines tafadhali
 
Shikamoo mkuu
I owe u nothing than respect
 
Aisee!!!!!!!
 
Kiongozi ni wanyonge wapi anaowatetea? Amewanyima watoto wao ajira, amekataa kuwapandisha vyeo /madaraja, hakuna nyongeza ya mishahara huku mfumuko wa bei ukiwa juu. Hospitalini hakuna tiba, elimu imedorora. Maskini wapi anaowatetea ?
 
Mtoa mada nimekuelewa sana ila tuliishaambiwa watalindwa #TatizoNisisi#NaBado#FanyeniKazi#
 
Sasa ukikabidhi watu wakuendeshee maana yake ni kwamba wewe uliyekabidhi huna tena chako ? Hii michezo tu ya kutumia kalamu hamna lolote
sio michezo ya kalamu,ndo trending tu sasa watu wanafanya duniani,sio kitu cha ajabu kivile,ile sema villazer wengi hawaendani na mda,watu wazito duniani kama akina bush,clinton,obama etc hawaendi ofisini kufanya biashara,kuna watu wamewatrust ambao ndo wanarun biashara zao huku wao wako busy na mambo ya foundations za kusaidia jamii
 
Hatari sana kwa watu wenye maisha ya kawaida ila kwa upande wao ni burudani tu. Ila ipo siku mambo yatakuwa poa tu.
 
ba
 

Magu amekuwa ni hodari wa kueleza jinsi mafisadi walivyoliibia Taifa letu.Ni busara akafahamu kuwa watu wanazo hints za akina nani wamejeruhi nchi hii kwa kiasi kikubwa.Na kwa kuwa yeye ni mwimbaji wa Chorus ya "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" basi atoke atuambie hizi haya yanayosemwa ni "wivu tu wa kike" au ndio ukweli kuwa wao ndiyo wametuibia hadi kutufukisha hapa tulipo ambapo sasa tunaishi kama Mashetani.
 
Nimekukubali kama ndo hivo we we balaaa. Mkubwa hakika aanze na hao kwenye ile mahakama mpya. Swali he ATAWEZAAA AU ATATHUBUTU????
 
Mhhhh. Yatasemwa mengi
 
Jk famìly
 
mmesababisha nimeanza kulia mana leo sijui ntakula nini sina hata kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…