Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 20,769
- 14,993
Wakiambiwa, wanasema, leta ushahidi. Huku kwingine hawaleti ushahidi. Porojo tu.Khaa nyie watu mbona kuna fisadi baba lao mnalo kwenu na mmeweza kuishi nalo na mnaendelea kulitetea mpaka leo?
Ukweli ni upi ? Hii Simba Trust wakati wa sakata la Escorow mtoto wa Mkwere huyu anayependa kukaa Kinondoni na mateja au Coco Beach na kina Suma Lee alitajwa ,hili la Uda toto lingine la mkwere nene nene hivi lilitukana watu wakati wa uchaguzi nae anatajwa kama mmoja sijui wa wamiliki au mkurugenzi blah blah blahKwa TSN supermarket na UDA sio kweli.
Toa ushahidiWe muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Ambaye hajakuelewa hata siku ya kiama ikifika hataelewa, na hata Yesu akirudi wala hataelewa!
Outwardly hawa watu wanajitahidi kujionyesha kwamba ni watu wazuri lakini kiukweli huenda ni watu wabaya sana na ni muda utatupa ukweli huu! Zamani niliamini eti wezi ni watu 'wanaokunja' sura kumbe 'charming faces' ni wabaya zaidi aisee!
Wakiambiwa, wanasema, leta ushahidi. Huku kwingine hawaleti ushahidi. Porojo tu.
Mwizi mwenzio haguswi na serikali aliyoiweka madarakaniMleta mada ni mnafiki sana. Nyie mnatumia hisia badala ya kuweka documents. Sasa mnamsakama JK wakati huo huo mnasema alikuwa rais bora, so which is which?? Mwacheni JK apumzike!
sijui kuhusu simba trust,Misijui mkuu...
Ebu sivute sikio...[emoji101]
Daaah, kama ni kweli inauma sana kaka.JAKAYA KIKWETE, SALMA KIKWETE, Na watoto wao ndio wamiliki wa SIMBA TRUST,
Kwenye Orodha ya wakwapuaji wa Pesa za Escrow Mama Salma anaonekana kuchota pesa.
TSN Supermarket Mama Salma ameonekana.
Jengo la ROCKY CITY MALL -Mama Salma alimwambia Mkuu wa Mkoa Magesa Mlongo kuwa ahakikishe anamtengea Vizimba vyake humo Jengoni-Na ni kweli TSN Ilipewa Vizimba kadhaa
Halotel- Familia ya JK. ina Hisa humo ndani.
Haya IPTL/PAP =JK. Family...
Yaan Urais wa JK. Kwa miaka Kumi ulikuwa ni wa kupiga deal na mke wake pamoja na familia yake na watu wake wa karibu.
Mzee 400 milioni za TANESCO wanalipwa kila siku hazikuumi? Lazima una ngozi ya jiwe.Mimi Hapa sioni shida!! Huu ni uwekezaji ambao umetoa ajira, Unachangia pato la Taifa na Mengine Mengi!! Kama mimi nikiamua kukopa hela na kuanzisha kiwanda na kikawa successful nitakuwa ni Mhujumu? Watanzania tufikirie in three dimension!! Kama Taifa ni muhimu kuwa na wawekezaji ambao watalipa kodi na kutoa ajira!! Kama serekali imeona kuna kitu wamekosea wahojiwe na mara nyingi ni ukwepaji kodi walipe ila sioni tatizo watu kujiunga na kutoa ajira kwa raia wenzetu
Ndio maana anatuomba tumuombee na tunamuombea lkn maombi yetu yanageuka laanaJpm si alisema atawalinda????
Hapa naona paka mwenyewe ndio ameshika kengele anakusubiri akufunge wewe kiherehereNani atamfunga paka kengele??
Wewe ongea ukweli unaoujua...ukijua huu wenzako wanajua uleeeeeee....usisahau lele na lele ndio mwanzo wa wimboWe muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
MkuuNani atamfunga paka kengele??
Best QN everNani atamfunga paka kengele??
Shikamoo mkuuWazee wa kujenga jengo la BAKWATA...Wazee wa kupitia Mgongo wa RC Dsm na kulipa Madaktari ili kutoa huduma za Afya bureee Mnazi Mmoja!!Yaani badala ya kuboresha huduma za Hospital,wao wanatengeneza "Bonanza la Kupima Afya za Watu"....
Ndio walewale Wazee wa Reflectors...Waliowakusanya Bodaboda wa Dsm Leaders Club na kuwagawia majaketi ya kuakisi mwanga.Hao ndio walifadhili mechi ya Wabunge wa SIMBA vs YANGA siku ya Jumapili.
Wanafanya huduma za kibinadamu kwa kuwalipa madaktari na kuhudumia kufanyia upasuaji watoto wenye vichwa vikubwa Dsm na Jimbo la Chalinze.
Jamaa ndio "Tigo Pesa na M-Pesa" ya Wabongo wanaofanya biashara China na Tz...Ukienda tu pale Kkoo unawapa madafu wao wanaituma ndani ya dakika moja imefika Uchina kwa njia ya simu.Ndio walioboresha ofisi ya RC Dsm kwa kuweka ndani samani mpyaaaaa na Apple Computer juu ya meza.
Hawagusiki...Kama unataka kurudi kwenu Geita uache jumba jeupe...Basi gusa "mtandao wa Simba Trust"....
Unashindwaje kuvisema kama sio ww ndo mtototWe muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Washasemasubiri wenye lumumba yao watakuja hapa kusema Lowassa nae yumo kwenye hiyo Simba Trust.