Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

nasikia hata Magu ni mtu wa karibu wa Jk? Basi sawa
 

1000% pumba
 

"...muaache hawa Wazee wapumzike maana wamefanya kazi nzuri mno..... "
HE JP Magufuli

Mkuu hizi ni vita ambazo tumeshindwa hata kabla ya kuanza
 
HUYU JPM SIJUI KAMA ATACHEZA VZR KTK KIKOSI CHAKE ITKUWA KAMA MAIGIZO YA BULICHEKA,ILA MWISHO WAKE UTAJULIKANA NA 2020 TUTAHOJI MAFANIKIO KTK HAYA
 
Raisi hawezi kufanya haya yote kwa mara moja kwa matamanio yenu.Kwanza mnampa mzigo mkubwa kupita maelezo.Ninachompongeza Magufuri kabla hajawa raisi tayari alishapanga ratiba ya matukio yake kwa sababu mambo haya yote yalikuwepo na alikuwa anayajua sana ila alikuwa waziri na hakuwa na uwezo huo ndio maana angalau ameshawahi kutaka kujiuzuru uwaziri kwa kukerwa na mambo.Magufuri kwenye kampeni alikuwa akiongea kwa uchungu sana alikuwa na hamu kunyoosha.Tumpe muda Magufuri,tumpe muda.Huyu anajua anachokifanya japo najua tunahisia sana za kisiasa.
 

sio tanzania ya leo. watumie salamu kwamba hata za mwizi arobaini
 
Familia ya JK haihusiki kwa namna moja au nyingine nitawafunga nyie watu...
 
ok simba trust ndo ina trend kwa sasa. Ngoja tuchimbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…