Huu ndio mtandao unaoimiliki Simba Trust!!

Muulize mkuu wa kaya maana ni karibu na kwao huko bukombe .......
Kwanza hakuna mgodi unao itwa Trawaka.
Hapo kabla palikua na mgodi wa Tulawaka ambo ulizungushiwa ukuta kwaajili ya usalama.
Kwasasa mgodi huo unamilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja, Chini ya usimamizi wa meneja mkuu Ndugu Denis Sebugwao na unaitwa StamiGold
 
Mkuu unawafahamu? Lini alisema atawalinda?
 
Rais asaidiwe ila na yeye afanye utafiti maana ana kila aina ya Rasilimali
 
Noted
 
Nchi hii inaliwa badala ya kudhibiti walaji tunadhibiti wanaowafichua walaji
 
We muongo sana.Kuna baadhi ya vitu navifahamu humo vyote umeongopa.Acha utoto
Huo mtandao ndio umemponza msajili wa Hazina, Mr. Lawrence Mafuru .
Amebakia RC Makonda nae asombwe!!
Hiki kitu kila m^Tz ana fahamu ila tunakoswa tu mwanzilishi wa kuwafumua!!
 
aiise unaweza kukuta hata baadhi ya viongozi wanamilikiwa na hawa jamaa labda,,
 
Fisadi namba moja ni yule alietajwa na slaa mwembe yanga,lakini pia alitajwa na lema,msigwa bila kumsahau dogo mnyika hapa ushahidi upo wazi kupitia watu hao,ila we mleta mada hakuna ushahidi wa ulichosema hapa,zaidi naona unafki tu.
Watu wengine akili zao ni kama za chura. Anaweza rukia hata motoni. Mada ni nyingine yy anaongea utumbo mwingine!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…