Hauna upole. Hauoneshagi tuu rangi yako halisi mbele ya mama.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, sijui tu huwa anaona nini kwangu. Ila kama hujanizoea unaweza hisi mimi mpole sana as sinaga mambo mengi. Busy na yangu tu.
Ila mama ndio huwa simuelewi[emoji23]
Hahahahahahahah ukamlishe mboga alale sio?Nitamchukua mwanangu ili uwe unachat vizuri.
Wali na mchuzi...mchuzi mwingi unaliwa wiki nzima kazi kupika wali tu. Sio bachelor eti unapika mboga saba viungo vyote. Hapo mchuzi una kitunguu na nyanya tu!
Karibuni tuleView attachment 1212957
So will you marry me?Wewe ni wife material kabisa!
Ugali ni siku ile ila mboga ilikuwa siku nyingine.Huu ugali na samaki sio wale wa ile siku jikoni na mwifa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee hapa hamna unachikula,,unakula sembe na kuku wa kizungu ukiwa umeunga na mafuta yenye cholestrol ya kutosha...
Sio kama yule injinia wa M3?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti tunastahili kubaya tu[emoji134][emoji134]Hahahahahhaa hata mimi nashangaa.
Mazuri wala huoni akikumbuka kutuweka huko.
Dona hiyo mkuu, hapo picha imeonesha tu weupeMkuu unakula sembe? Au hilo dona jeupe?
Kumbe ulikuwa haujui? Nashangaa unanenepa tuu kizembe na dawa ipo[emoji23][emoji23][emoji23]
Kale kadada itabidi nilete mrejesho kesho! Duniani kuna mambo!
Hauwezi[emoji23][emoji23][emoji23].
Faking is not for you.
Acha kabisa, nikajiona mmiliki kumbe tuko wamiliki kama wote[emoji134]Alikupagawisha na safari ya Dubai. Ukienda kushinda kwenye duka lake la vifuniko vya asali unajiona wewe ni wewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]