Siruki ruki bhana. Ni kwenye harakati za kutafuta makazi ya kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sasa nikikukatia tamaa nani atakuhangaikia? Mama alinikabidhi hivyo ni jukumu langu.
Ila uache kuruka ruka sasa, unafanya hii kazi inakuwa ngumu[emoji134][emoji134][emoji134]
Batchelor huyu hataoa kama anaweza kumsafisha sufuria zikawa safi hivi na kilo ni spot less.
Hawa ndiyo wale ukiwapikia wali anakuambia umeinama ameshazoea kupika wali mwenyewe.
Labda kama utakaza sauti. Lakini kama sauti ni hiyo hiyo ya kitoto ni mwendo wa chopa tuu.Siku nyingine nashika fimbo, usinitanie kabisa.
Matamanio ya mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama ulikuwa hutaki mbona ulikwenda kimchakato?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siruki ruki bhana. Ni kwenye harakati za kutafuta makazi ya kudumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. View attachment 1213043
Hahahahaaa Kaboom huyu huyu?Hawezi kumrudisha[emoji23][emoji23] niamini mimi
Labda kama utakaza sauti. Lakini kama sauti ni hiyo hiyo ya kitoto ni mwendo wa chopa tuu.
Jamani nmekosea nn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana pia.
Ila komesha ni Baba Swalehe akipika utafikiri anagombana na jiko.
Consider it done.Make me...
Haumtaki tena? Baada ya kukuharibia usichana wako unamuacha aende kizembe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah!! Mume mwenyewe Kaboom huyo amchukue tu.
Ukamsingizia shetani bureee wakati alikuwa chato[emoji134]Matamanio ya mwili[emoji23][emoji23]
Kwa ubwabwa huo rafiki yake ni juice.ukipiga vyombo vingine lazima utapikeπ π π πππYangu iko poa nishapiga ubwabwa, hapa naangalia mpira huku naperuzi jf. Kimekosekana kimoja tuππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walah nilichekaaa!
Hapana, nimemmiss tu mdogo wangu.Nini tena?!