Huu ndio msosi wa bachela

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiio ndio...hata hyo hua inatokea sana,haswa nyama

Nikiwa naichemsha nyama nipike nayo mboga naigonga hvyo hvyo..mda mwingine natumbukizs huko viaz vitatu nakua nimemaliza mchezo
Yaani huyu ni mimi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna jamaa alikuwa anapika ubwabwa mwingiii na mboga then anaweka kwa jokofu. Anatoa kidogo anapasha kwa microwave, mwendo ni huo hata wiki mbili.

Haki wanaume bachela wanakulaga kushiba.
Hivi unakumbuka lile pishi la ndizi nyama la mpwa wako kikulachochako; nilichoka na roho yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…