Huu ndio msosi wa bachela

[emoji23][emoji23][emoji23] njoo nikufundishe huko usije kwenda kuniaibisha, jana ilikuwa bahati mbaya tu
Nakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?
Unifundishe kupika chapati za kusukuma maana si kwa "mabati" niliyopika leo. Chapati kama" mkate wa Yesu". [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kwanini mkali ndio ananifaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sio atakuwa ananionea? Mwenyewe mpole sijui hata kujitetea. [emoji22][emoji22]
Naona neno mpole limepata definition mpya
 
Nakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?
Unifundishe kupika chapati za kusukuma maana si kwa "mabati" niliyopika leo. Chapati kama" mkate wa Yesu". [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23] we njoo tu na mikono yako material utazikuta
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo unazingua, kukufundisha kote kule haujaweza[emoji134][emoji134][emoji134]
Nakujaa, nije na material au material nitayakuta huko huko?
Unifundishe kupika chapati za kusukuma maana si kwa "mabati" niliyopika leo. Chapati kama" mkate wa Yesu". [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Teh teh teh teeeeeh!
Mkali ili ukileta za kuleta anakunyoosha. Wewe bila sheria huendi.
Hahahahahhahahahahahhaah. Jamani tatizo wewe mkorofi ndio unahisi na mimi hivo hivo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…