Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu

Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
13,522
Reaction score
38,174
Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu
Leo ilikuwa uhakika mademu watatu walijaa kwenye kilengeo
Nimeshapaka zangu viksi lotion nimejiboost uhakika
Aisha msomali
Irene komwe
Judi mlaaniwe huko mlipo
Hapa nipo chumbani tu nawashwa kichwa
Sebuleni yupo X wa mama mkwe wangu
Usiku mwema nyote
R.I.P kichwa
IMG_20240820_202820.jpg
IMG_20240820_201342.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom