munkango
JF-Expert Member
- Sep 12, 2016
- 392
- 704
Kama ni hivyo tungeanza na Serikali kabisa, tutafute mwekezaji wa kuiendeshaWatanzania hamuwezi kujiendesha wenyewe. UBINAFSISHAJI ndiyo njia pekee ya kuukuza uchumi. Na tunaona mafanikio hayo. Kama wewe huoni ni upofu huo sasa