Huu Muziki wa Kijeshi wa China siyo mchezo: China sasa hivi siyo ya kuchezewa wako fiti

Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
5,094
Points
2,000

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
5,094 2,000
Du! wabongo uwa awakosi majibu.iyo stealth ilitunguliwa na mfumo wa kujilinda sasa habari ya pilot kumfukuzia imetoka wapi?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Umu fiksi nyingi usitegemeee ukweli. Vijana na watoto wetu waliozaliwa miaka ya kuanzia 1990 mpaka miaka 2003 ndio wanaobisha wakati sisi matukio mengine tuliokuwa tunaona kwy tape na cinema anakuja kukubishiaa
 
Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
5,094
Points
2,000

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
5,094 2,000
Hahaha huyu China anaruka ruka tu ..kuweza kushindana na Marekani atapotea vibaya sana ...achana kabisa na wazungu ..wao walijua shida mapema ..Kila technology unayoijua wewe wameanzisha wao, hayo machina kazi kukopy tu hata sisi tungewekeza kweny viwanda tungekuwa na uwezo wa kukopi tu kama hay machina ..ni kweli China taifa kubwa kwa sasa ila kusema afta 20 iyaz watakuwa au watampita Marekani icho kitu sahau ..kuteleza kupo USA aliteleza hasa kipindi cha Obama lakini angalia jinsi ilivyo react mapema tu kipindi hich cha Trump ..mataifa kama Japan, Russia yalikuja hivi hivi mwishowe bado Marekani anaweza kuwapiga kwa vikwazo ..usicheze na wazungu mifumo na jinsi dunia inavyoenda wamepanga wao ..uyu mchina bado hana technology ya kuweza kuipiku hata North Korea ndo awe Marekani? Punguza mahaba kwa haya machina ..Marekani bado atabaki kuwa baba na kiranja wa dunia ...Marekani ikiyumba kiuchumi tu basi robo tatu ya dunia itayumba pia ...halafu USA ni bingwa wa kutengeneza matukio ili apige pesa ..vita vya sasa ivi ni vya kiuchumi ..mf mgogoro na Iran, economic war na aya machina ..yote ni ili apige pesa zenu...

Ulimwengu kwa sasa unaendeshwa na technology na wao ndo wameishika ..uyu China ana kopi tu na kupest...
Wazungu wa Strategic. Kila kitu wao wanapata faida tuuu. Hata apa tunavyobishana wao wanapata faida ya megabytes zinazotumika wao ni faida tuuuuuu. Unapokuwa karibu na USA, yeye anakugeuza wewe fursa kama wanavyofanya wazeee wa fursa
 
Mgg3

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2018
Messages
404
Points
1,000

Mgg3

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2018
404 1,000
Huwa nawashangaa sana wabongo mnavyowadharau wachina, sio katika bidhaa au vifaa vya kijeshi!!! Marekani ana kitu gani anatengeneza ambacho mchina hatengenezi? Lakini kuna vitu mchina anamake marekani hatengenezi....Mchina yuko juu bwana! Nyie wabongo endeleeni kunywa kahawa na kashata! Haya mambo hamuyajui
Kinachomfanya China adharaulike ni kucopy na kupaste kwenye teknolojia yaani hana kitu kinachomtambulisha. Akiona Marekani katengeneza ndege na yeye anatengeneza yenye muundo uleule hata kwenye simu. Hizo silaha asilimia 78% kacopy na kupaste kutoka kwa USA.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,296
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,296 2,000
Kinachomfanya China adharaulike ni kucopy na kupaste kwenye teknolojia yaani hana kitu kinachomtambulisha. Akiona Marekani katengeneza ndege na yeye anatengeneza yenye muundo uleule hata kwenye simu. Hizo silaha asilimia 78% kacopy na kupaste kutoka kwa USA.
Marekani naye alikopi tekinolojia ya silaha nyingi kwa waNAZI wa Ujerumani
 
Come27

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Messages
5,094
Points
2,000

Come27

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2012
5,094 2,000
Ivi siku dunia ikija kugundua kwamba simu za Iphone ni moja ya silaha ya USA. Ambayo endapo itatokea vita ya tatu. Watatumia mionzi iliyopo kwy iPhone kuuua watu. Wachina wangapi,wahindi, wairani, warusi wangapi watakufa embu jalibuni kuwaza na je mataifa mengine walishajalibu kuwaza ilo
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Messages
891
Points
1,000

Bwana Utam

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2016
891 1,000
Ivi siku dunia ikija kugundua kwamba simu za Iphone ni moja ya silaha ya USA. Ambayo endapo itatokea vita ya tatu. Watatumia mionzi iliyopo kwy iPhone kuuua watu. Wachina wangapi,wahindi, wairani, warusi wangapi watakufa embu jalibuni kuwaza na je mataifa mengine walishajalibu kuwaza ilo
Kwabahati mbaya ama nzuri wataua raia mpaka wakwao halaf wataua raia wakawaida

Na istoshe pia iphone hazitumiki sehem nyeti katika mataifa mingi maana haziaminiki kwa suala la usalama

Ila zinatumiwa na baadhi ya wa2 nyeti
 
Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,835
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,835 2,000
Marekani naye alikopi tekinolojia ya silaha nyingi kwa waNAZI wa Ujerumani
Hivi mkuu watu hawafaham kuwa technology ni ya kuhama na kugezana.
Kwanza mpk uibe technology ya mwenzako unatakiwa ufanye cyber theft ndicho anachofanya China.
Na washikaji wanakerekwa na China kwasababu China aki copy kitu chako haki copy vile vile bali anaiba tu tech halafu anaenda kukiboresha kukizidi chako.
Halafu watu wapofu wa fikra sana ndugu wanamchukulia poa China eti hana kitu cha kumtambulisha ilhali gun powder inayotumika ktk vilipuzi kagundua China.
Bastola kuwa na trigger China ndiye innovater.
Ma printers na photocopy machines innovater China.
Watu bhana wanamchukulia china poa.
 
Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,835
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,835 2,000
Si kweli kabbisa mkuu.
China ni anafanya tech theft ila sio C&P km mdhaniavyo.
Yeye huiga na kukiboresha kuwa bora zaidi ya alichokiiba.
Aaaaah chief umenivunja mbavu asee kwamba rafiki yake anatoa copy yani ana incubator anafanya kutotoresha mayai ambayo ni similar to each aspect duuu!!
 
ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Messages
2,051
Points
2,000

ankai

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2017
2,051 2,000
Hivi mkuu watu hawafaham kuwa technology ni ya kuhama na kugezana.
Kwanza mpk uibe technology ya mwenzako unatakiwa ufanye cyber theft ndicho anachofanya China.
Na washikaji wanakerekwa na China kwasababu China aki copy kitu chako haki copy vile vile bali anaiba tu tech halafu anaenda kukiboresha kukizidi chako.
Halafu watu wapofu wa fikra sana ndugu wanamchukulia poa China eti hana kitu cha kumtambulisha ilhali gun powder inayotumika ktk vilipuzi kagundua China.
Bastola kuwa na trigger China ndiye innovater.
Ma printers na photocopy machines innovater China.
Watu bhana wanamchukulia china poa.
Kama kipi ambacho China aliiga toka kwa USA alafu akakiboresha kuwa bora zaidi ya kile cha USA wee unafikiri kwanini hizi lite Goods and services nyingi tunazotumia ni za kichina apa tz sababu ni kwamba za china is not genuine ivyo ata price yake ndo tunakuwa tunaweza kuafford ila nenda katafute the same goods ya USA alafu angalia ubora wake na price yake uone kama utaafford CHINA hajawahi kucopy kitu alafu akakitengeneza kuwa bora kushinda org yake , huu ni uongo wa mchana kama zipo taja izo goods ambazo ameiba tech yake from USA na kuziboresha kuwa bora zaidi ya zile za USA ama RUSSIA au UK
 
Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,835
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,835 2,000
Kama kipi ambacho China aliiga toka kwa USA alafu akakiboresha kuwa bora zaidi ya kile cha USA wee unafikiri kwanini hizi lite Goods and services nyingi tunazotumia ni za kichina apa tz sababu ni kwamba za china is not genuine ivyo ata price yake ndo tunakuwa tunaweza kuafford ila nenda katafute the same goods ya USA alafu angalia ubora wake na price yake uone kama utaafford CHINA hajawahi kucopy kitu alafu akakitengeneza kuwa bora kushinda org yake , huu ni uongo wa mchana kama zipo taja izo goods ambazo ameiba tech yake from USA na kuziboresha kuwa bora zaidi ya zile za USA ama RUSSIA au UK
TUSHIBISHANE VITU VILIVYO WAZI KAKA.
HIVI UNAJUA KAMA USA PIA INAONGOZA KU CONSUME CHINESE MADE GOODS???
CHINA ANATENGENEZA VITU VYA FIRST WORLD COUNTRIES NA THIRD WORLD COUNTRIES AMA HAULIJUI HILO??
ASA KM HAUJUI KUNA VIFAA HATA VYA KIJESHI ZIKIWEMO MANOWARI CHINA ANAUZA NAYE NDIYE MTENGENEZAJI BORA WA MANOWARI.
CHINA INA CONTRIBUTE 60% OF MANUFACTURED GOODS DUNIANI.
HUAWEI UTAKAYOUZIWA WW USIFANANISHE NA HUAWEI ATAKAYOUZIWA USA AMA GERMANY.
HATA RAILWAY HIZI ZA CHINA STANDARDS NDIZO ZINAZOONGOZA ULIMWENGUNI KWA UBORA KUNA CHINA CLASS 1 ,2 NA 3.
CHINA CLASS 3 NA 2 NDIO TUNAJENGEWA SISI HUKU AFRICA KM WALIYOJENGEWA ETHIOPIA NA KENYA.
CHINA CLASS 1 WANAJENGA MATAIFA YA MBELE.
NAKUSISITIZA KAKA CHINA HATENGENEZI VIFU FAKE PEKE YAKE.
ANATENGENEZA KULINGANA NA HALI YA UCHUMI YA SEHEM.
NDIO MAANA UNAONA ANA WIN KTK BIASHARA KULIKO MATAIFA YA KIBEPARI.
KWASABABU ATAKUTENGENEZEA WW KITU AMBACHO CHA LOW QUALITY ILI AKUUZIE KWA BEI ITAYOKUFAA KULINGANA NA UCHUMI WAKO HUSUSAN SISI WAAFRICA NA ATATENGENEZA GENUINE GOODS KWAAJILI YA MATAIFA YENYE HELA KM UARABUNI NA KWENGINEKO.
NA NIKUFAHAMISHE KITU KIMOJA KAKA UNAONA VITU VILE AMBAVYO VIMEANDIKWA MADE IN UAE KM FRIDGES N.K N.K AMBAVYO WATZ HUTUMIA MITUMBA YAKE NA INADUMU?
WAENDESHAJI NA WATENGENEZAJI WA HIZO GOODS NI CHINA WAKIWA NDANI YA MATAIFA YA KIARABU LAKN PRODUCT INAANDIKWA YA UAE.
DUBAI WANA ROADS TATU BORA KWA UHIMARA NA UBORA DUNIANI NA MJENZI WA HIZO ROADS NI CHINA.
MFANO KAKA MIMI NILIPATA SIM YA SAMSUNG CHINESE MADE NA ILIKUA NIMEPEWA TU KULE KULE NA MCHIZI NIKABADILISHA SETTING TOKA ZA CHINESE KUJA ENGLISH NA ILIKUA IMETUMIKA MUDA TU ILA HADI SASA NINAYO KM KUMBUKUMBU NA NAITUMIA.
WAAFRIKA HATUNA HELA YA KUNUNUA OG YA MCHINA MWACHE ATUUZIE FAKE GOODS TU UKITAKA OG KAMFATE KWAKE.

KAKA USIMBEZE HUYU JAMAAA.
MFUATILIE VEMA.
 
Forum statistics

Threads 1,343,519
Members 515,078
Posts 32,787,346
Top