Huu Muziki wa Kijeshi wa China siyo mchezo: China sasa hivi siyo ya kuchezewa wako fiti

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
8,166
Points
2,000

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
8,166 2,000
Pamoja na ypte nayo China bado sio nchi rafiki kwa kuishi kule ...unaeza kura unakosa mtu wakuongea Naye ni Mara kumi ustay zako tu America kuliko China...

Marekani bado ni first priority kwa raia wengi kwenda kuishi kule, kwa nini wasiende uko china, ata wewe mtoa mada na uhakika una mzuka sana wa kwenda apo USA.
 
Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,835
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,835 2,000

Aaah mataifa rafiki kwenda ni Japan,UK,France n.k n.k na haya mataifa hayana ubaguzi.
China haina utofauti na USA kote usipokuwa bepari ama mtu mwenye fedha utataabika na segragation zote.
 
Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
8,166
Points
2,000

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
8,166 2,000
Aaah mataifa rafiki kwenda ni Japan,UK,France n.k n.k na haya mataifa hayana ubaguzi.
China haina utofauti na USA kote usipokuwa bepari ama mtu mwenye fedha utataabika na segragation zote.
Labda China aise ..USA Kila mwaka wanatoa nafasi zaid ya 50k kwa kupitia loterry green card kwa raia yeyote kwenda kuishi na kufanya kazi uko ..hii huduma hupati popote ni USA tu..
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,296
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,296 2,000
Wenye hela ni minority,mimi nazungumzia majority ambao milo mitatu ni kazi,roof is leaking,mshahara haufiki mwisho wa mwezi etc,etc
Bongo ukiwa na hela za kawaida tu
unaweza kuajiri mlinzi(mmasai) , Housigeli, dereva wa kukuendesha, shamba boy.

Hivyo vitu ukiwa Marekani labda uwe na pesa ndefu ndefu mno ndo unaweza kuwa navyo
 
jackline1

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
2,072
Points
2,000

jackline1

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2012
2,072 2,000
Bongo ukiwa na hela za kawaida tu
unaweza kuajiri mlinzi(mmasai) , Housigeli, dereva wa kukuendesha, shamba boy.

Hivyo vitu ukiwa Marekani labda uwe na pesa ndefu ndefu mno ndo unaweza kuwa navyo
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
4,296
Points
2,000

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
4,296 2,000
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo
Hata huko walinzi wanao, kama vile bodyguards, chaffeur (driver), maidens ( wafanyakazi wa ndani), Lakini wenye kuwa nao hao ni watu wenye hela ndefu sana, huwezi kuwa na hela yako ya kubeba boksi ukaweza kuafford kuwa nao hao
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Messages
7,082
Points
2,000

BlackPanther

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2015
7,082 2,000
Hata huko walinzi wanao, kama vile bodyguards, chaffeur (driver), maidens ( wafanyakazi wa ndani), Lakini wenye kuwa nao hao ni watu wenye hela ndefu sana, huwezi kuwa na hela yako ya kubeba boksi ukaweza kuafford kuwa nao hao
Hapa mlinzi anakulindia nyumba/kampuni yako mwezi mzima unamlipa dola 40 mpaka 50 tu au ukipenda Unafuga German Shepherd unamlisha kilo ya mabaki ya nyama ambayo haifiki hata dola 1 per day, budget ya siku elfu kumi mpaka 20, House girls wa kumwaga tena kwa bei chee...vitu hivi huvipati marekani...umeona raha ya Tz Bro :D:D ukiwa na pesa unaenjoy life freshi tu kuliko anaeishi ubeberuni...

Ollachuga Oc
 
Kosugi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Messages
1,835
Points
2,000

Kosugi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2019
1,835 2,000
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo
Mmmmh bro hii ni kamba.
Wataka nambia Bill gates hana housemaid ??
Mtu mwenye hela lazima aajiri mlinzi,Gardener,housemaid na chef ikiwezekana kabisa.
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,023
Points
2,000

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,023 2,000
Huyo Marekani wako unayemhusudu ashakutana na Mchina huko Korea miaka ya 50s

Marekani alikuwa amebakiza kilometa Chache tu aikamate Pyongyang.

Mchina alipoingilia kati tena bila ya kuwa na misilaha mikubwakubwa alimsogeza huyo Marekani kutoka Pyongyang kuelekea eneo ambalo leo ipo hiyo inayoitwa Demilitarized Zone (DMZ), Tena kama Marekani asingeomba po kupitia UN, Mchina na mshirika wake yaani North Korea walikuwa wanaelekea Seol fasta sana!.

Marekani na madudedude yake keshachezea kichapo huko Vietnam, Nenda kagoogle kitu kinachoitwa Tet Offensive Au katafute information jinsi wanajeshi wa Marekani na washirika wa marekani walivyokuwa wakikimbizana kama kuku pale wanaume wa Vietcong walipokuwa wanasonga kuelekea Saigon.

Hao wamarekani wako bila kwenda na allies zenye nguvu kubwa kijeshi kama vile Muingereza huwa hawana uhakika wa kushinda vita.

Hata huko Afghanistan, Huyo Marekani wako ameshindwa kuishinda Taleban, na Taleban wanashikilia eneo zaidi ya aslimia 70 ya nchi nzima, halafu unaleta habari za Marekani?
WANAKUELEWA ila sema movie za kina Sylvesta Stallone,Anold Shwarznnneager na Jean Claude Van Damme zimewaingia sana mioyoni mwao.
 
Forum statistics

Threads 1,343,516
Members 515,078
Posts 32,787,263
Top