Huu Muziki wa Kijeshi wa China siyo mchezo: China sasa hivi siyo ya kuchezewa wako fiti

Umelishwa propaganda za CNN na Fox news wewe.

Nashangaa mauaji ya kidhalimu ya kuiba resources za watu duniani unaita ni Nationalism. kwa hiyo wewe watu milioni moja waliouawa na Markani ili iibe wese kwako hao ni takataka tu?
Fikra za kishenzi sana ameeleza huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom