Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,182
- 24,684
Ww ulo ongea ndio yana maana mkuu
Vita vipo ila lazma kuwe nasababu itakayo kupeleka vita na kwamujibunwasheria za UN Nchi ama taifa lolote linaruhusiwa kuingia vitani kwa minajili ya kujilinda US Ipo Amerka Huko LIBYA Ipo Afrika Ghaddafi wawatu aliitishia nn US Mpaka ikaja kujilinda na kumuua mzee wawatu ?!
Mkuu
Nipe justifications za vita?
Justification ya vita anaetoa definition na uhalali wa hiyo vita sio UN ndugu yangu!
Anaetoa justification na uhalali wa kufanya hiyo vita ni nchi husika kwa utashi wao,basi!
Umoja wa Mataifa sana sana atakachoweza fanya ni usuluhishi au kwenda kuokota vipande vipande vya watu au kutibu!