Come27
JF-Expert Member
- Dec 1, 2012
- 7,490
- 7,090
Umu fiksi nyingi usitegemeee ukweli. Vijana na watoto wetu waliozaliwa miaka ya kuanzia 1990 mpaka miaka 2003 ndio wanaobisha wakati sisi matukio mengine tuliokuwa tunaona kwy tape na cinema anakuja kukubishiaaDu! wabongo uwa awakosi majibu.iyo stealth ilitunguliwa na mfumo wa kujilinda sasa habari ya pilot kumfukuzia imetoka wapi?
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app