Huu Mtungi wa gesi uko sawa wakuu?

Huu Mtungi wa gesi uko sawa wakuu?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
Siku za karibuni nimegundua gesi inaisha haraka Sana nyumbani

Wakati matumizi ni Yale Yale na watu ni wale wale

Sasa Leo nimenunua

Nimefunga Tu mshale unasoma hivo
Hii ni sawa wakuu??

Maana kwenye bili za maji ndo usiseme

Naona kama watanzania tunaonewa kila mahali jamani.

Wale wataalamu naombeni majibu Kwanza kabla sijachukua hatua.

IMG_20250708_193616.jpg
 
Sometimes mtunngi wa uki kaa juani, ina affect density of the gas.

Mitungi ya gesi yenye muda mrefu pia sio rafiki, Jitahidi ununue gas iliyo sehemu ya. Kivulini na yenye muda mfupi
 
Back
Top Bottom