Huu msemo "Samaki mkunje angali mbichi" uko Real sana

Inaonekana mama yako ni mama typical...

Kuna prof aliwahi kusema miaka wao wanasoma kuandikia mkono wa kushoto ilikua inaonekana kudekezwa so ilikua ni fimbo mwanzo mwisho๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mi mzee wangu naye alikuwa anachapwa sana asiandikie kushoto na atumie kulia ila sasa anatumia mikono yote
Na hii ndio benefit ๐Ÿค— ๐Ÿ˜Š,. Mikono yote iko active kufanya chochote kile..
Sema sijui walikua wanawaza nini hadi kutuchapa,. Kwamba ni ulemavu au??
 
Inaonekana mama yako ni mama typical...

Kuna prof aliwahi kusema miaka wao wanasoma kuandikia mkono wa kushoto ilikua inaonekana kudekezwa so ilikua ni fimbo mwanzo mwisho๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚,. Tulisoma na mkaka olevel alikua anaandikia kushoto basi nlikua namuona mayai mayai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ