smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,405
- 2,835
Mkuu acha kutetea msemoHujaelewa kuwa hata huko ku hustle ni kwa vile unataka uwe mtu mbele ya mwanamke na umpate demu mzuri, hiyo ni "push factor" inayotoka kwa mwanamke bila ya ww kujua
Mkuu acha kutetea msemoHujaelewa kuwa hata huko ku hustle ni kwa vile unataka uwe mtu mbele ya mwanamke na umpate demu mzuri, hiyo ni "push factor" inayotoka kwa mwanamke bila ya ww kujua
Mbona shule nyingi boys tupu ndiyo wanakimbiza kwenye passing mkuu HIYO INFLUENCE YA WANAWAKE HAPO IKO WAP?chunguza mfumo wa maisha kwenye shule za bweni jinsia moja na mchanganyiko. penye mchanganyiko wanaume kila kitu wanajali, usafi, kufaulu kuliko wanawake, kufanya mambo yatakayompa sifa kuliko wote ile awe kivutio kwa wanawake. njoo za boys tupu, watu hawaogi hata mwezi, wanasoma ili tu hasifeli wastani, ubunifu unakuwa mdogo kwani mwanaume mwenzio akusifie ili iweje. ila kama msemo ulilenga kwamba huyo mwanamke ni wife basi wamekosea japo bibilia inasema apatae mke amepata kitu chema na kitu chema chaweza kukupa mafanikio
Really? I wanna make my mama successful...Behind every successful man there is a woman! Absolutely true and that woman is MY MOTHER!
Honey I love you including with ur job title.
Msemo hauzungumzii mwanamke mama mzazi sidhani hata kidogo.[HASHTAG]#pay[/HASHTAG] Thon We Umewaza Mwanamke Gan? Sikia Mwanamke Anaeongelewa Kwenye Huo Msemo Kwa %95 Ni Mama , Mama Ana Play Part Kubwa Sana Kwenye Maisha Kwa Mfano Mimi Mpaka Kupata Elimu Hii Mama Amehaso Kwa % 99 Na Baba %1 , Sio Hao Wake Zenu Wanaokuja Baada Ya Kuona Una Mshahara, Umenunua Ka Passo , Nk Hao Wachumia Tumbo Tu Ingawa Kuna Wachache Walikua Na Wewe Hata Katika Kipindi Kigumu, Au Watakua Na Wewe Kuanzia Mama Amekuacha Mpaka Kufikia Malengo Ulioyataka , So Mim Mtu Akilete Mada Kama Hyo Me Ntamwambia Ni Mama Tu Hawa Wengine Wanakuja Baadae Sana Na Wanapata %5,
I know you know I love you more... No matter what.Honey I love you including with ur job title.
Ubarikiwe.Behind every successful man there is a woman! Absolutely true and that woman is MY MOTHER!
Wanaume Wa kiafrika 90% ni mafukara vvip hawapati wanawake?Huo msemo uko sahihi, sema context tu ndio inakuchanganya! Behind every successful man there is a woman. Kwa sababu hakuna mwanamke anaemtaka mwanaume alie fukara(broke).
sawa Ila kwangu Mimi Mama KwanzaMsemo hauzungumzii mwanamke mama mzazi sidhani hata kidogo.
Kwamtazamo wangu msemo huu unamzungumzia mke au mwanamke aliyenaukaribu na wewe ukiondoa mama.
Kwamba mama ndio huyo mwanamke anaesemwa je huwa analea tu watoto wa kiume halei wakike.
Ni mke ndio humlea mume na yeye atakua behind that man kila wakati.
Wanawake wanamchango mkubwa kwenye mafanikio ya wanaume waliowengi ingawa sio wote.
Tuchague kuwa na ukaribu na wanawake wenye mchango chanya kwetu.
Ref: The fall of Mugabe et all
Mwanaume akishakuwa successful ndio anakuwa na mwanamke behind.Wanaume Wa kiafrika 90% ni mafukala vvip hawapati wanawake?
Ni kwa ajili ya kuwafurahisha tu ili wajisikie kama wahusika.Huu msemo ni katika harakati za kuishi nao Kwa akili!!! Wenyewe wanajua kuwa siyo kweli!!!!
Kidogo nimekuelewaHuo msemo unaukweli asilimia zote. Si lazima mwanamke achangie pesa ili ufanikiwe hapana. Ushauri mzuri na kukufariji kipindi unapokutana na changamoto katika kazi au biashara zako ndio hukufanya ufanikiwe.
Mama pia anamchango mkubwa katika mafanikio ya mwanaume japo umempa 2% hapo juu. Unaweza ukaanza kujitegemea lakini bado utahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwake nasaha na baraka zake ndio vichocheo vya mafanikio yako.
Huo msemo unaukweli asilimia zote. Si lazima mwanamke achangie pesa ili ufanikiwe hapana. Ushauri mzuri na kukufariji kipindi unapokutana na changamoto katika kazi au biashara zako ndio hukufanya ufanikiwe.
Mama pia anamchango mkubwa katika mafanikio ya mwanaume japo umempa 2% hapo juu. Unaweza ukaanza kujitegemea lakini bado utahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwake nasaha na baraka zake ndio vichocheo vya mafanikio yako.
Hizo takwimu za % umezipata wapi? Sheria ya takwimu itakufuata.Behind every successful man there's a woman behind them
Leo imenibidi nizungumzie msemo huu maarufu ambao unapendwa sana kusemwa pale mwanaume anapofanikiwa kwenye maisha "Eti behind every successful man there's a woman behind.
1.Huu msemo naupinga sana wanaume hufanikiwa bila sapoti ya mwanamke ,msemo huu ungesomeka behind every successful woman there's a man behind ningesapoti 100%....vijana wengi wa kiume wana hustle na kupitia magumu mengi mpaka anafanikiwa na akisha fanikiwa ndipo anapopata mwanamke kama unabisha waulize vijana wengi watakuambia subiri nipate pesa mbona nitaheshimika ,mbona nitampata yeyote yule nk na kwasasa hakuna mwanamke akae na kapuku mpaka huyo kapuku afanikiwe wanawake wa sasa wanata ready made mwanaume awe vizuri kwahiyo msemo huu hauwezi kuwa applicable.
2.kijana wa kiume mfano wale wasiobahatika kupata elimu kubwa hutaabika kutafuta kazi ya kumpatia rizki hapo atajiingiza kwenye Sanaa ata-hustle huku akiishi gheto na washikaji mpaka akabahatika kutoboa na kuwa na maisha nafuu au mazuri na hapo atamtafuta msichana ampendaye au kijana kaingia kwenye mpira ,au kazi yeyote ile au biashara akiwa zero mpaka akiwa 100 au 70 ndio mwanamke hujitokeza .
Wapo waliopitia elimu ame-hustle mpaka chuo na siku zote msichana anaweza kupatiwa maksi za bure na lecture ,akamlegezea macho na akapata ila mwanaume maisha yake yote ni hustling mpaka anamaliza chuo na kuanza kusaka kazi hapo atakaa mtaani miaka kadhaa ila msichana kuna privilege wanakuwa nayo fasta kazi anapewa ila mwanaume ata hustle mpaka kazi anapata .
Kwahiyo mafanikio ya mwanaume hayana behind Mwanamke ni uongo tu ,mwanamke anaibuka kipindi cha mafanikio
3.MAMA ni mwanamke na anahusika 2% ya mafanikio ya Mwanaume kwa fadhila ya kumlea na kumsimamia mpaka pale Mtoto wa kiume akisha balehe na kufikisha miaka 18 kwa huku mjini ila vijijini miaka 16.,na sapoti zinginezo na Mtoto wa kiume akiwa nyumbani kuanzia miaka 20 asiwe na shughuli atasakakwa ila wa kike yeye kila kitu kuna mtu nyuma wa kumsapoti ,hata mwanaume akitoka kwao na kwenda kutafuta maisha mjini tuseme Dar anamuacha mama huku ata hustle ili apate mafanikio arudishe fadhila nyumbani
Huu msemo
Behind every successful man there's a woman behind naomba ufutwe au ubadilishwe Behind every successful woman there's a man behind
97% ya wanawake wanaoendesha magari wamenunuliwa na wanaume na 3% wamenunua wao ila 100% ya wanaume wanaomiliki magari wamenunua wao
90% ya waajiriwa wanawake wamewekwa kwa upendeleo kazini
98% wamewapata wenzi wao waliofunga nao ndoa baada ya kupata mafanikio
100% ya wanawake wameolewa na wanaume waliopata mafanikio
0% ya wanawake wametoka pamoja na wanaume from nothing to everything kwa dunia ya sasa.
Mama anachangia 2% tu ya mafanikio ya mwanaume