Huu msalaba wa Maamuzi mabovu unabebwa na nani? - Zitto Kabwe

mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
Hahaaahaaa hivi umetumia neno ushamba vipi ni sifa au tusi ukiambiwa ushamba wa ndege ukasahau kuwekeza kwenye chakula nani mshamba wajanja asilimia kubwa waliwekeza kwenye chakula ndo wakatoboa we ng'ang'ania madege yako yakishamba kama unavyolipenda hilo neno (mafeni, panga boi)
 
Ileje, EDIBILY MJENJWA, sennetsu, Obuma, nyamalagala, Safari_ni_safari, Mapalala9, themanhimself176, kitatulu, ogadinho, Ndumbayeye, H.T.P, Daudi1990, ushuzi.1, chabusalu, Daudi Mchambuzi na Yego chikaka.

asanteni sana, ila tujifunze kuishi uhalisia. sisi ni watanzania, na JPM ndio rais wetu kwa sasa. Ndege ndio zimeshanunuliwa hivyo.

JPM sio kwamba alitumia pesa yote kununua ndege zikaisha, pesa anayo ila anaitoa mahala panapostahili kama anavyoona yeye, na katiba inamruhusu na hamna cha kumfanya, punguzeni mshawasha.

muwe na jioni njema wanajamvi.
 
Back
Top Bottom