Huu msalaba wa Maamuzi mabovu unabebwa na nani? - Zitto Kabwe

Watanzania hatukukosea kuchagua rais yupo tulie mchagua bt haya yote yanaletwa na JK kwa kutulazimishia nani awe rais na nani asiwe
 
Wewe ndiye mshamba ambaye tangu ndege zinunuliwe haujawahi kuzipanda na bado unashabikia ndege, endeleeni kukurupuka na maamuzi yasiyopitia bungeni, mkidhani nchi ni familia yenu, mnatafuta umaarufu wa kishambaaa, Leo kagera mmewadhalilisha ,endeleeni Mungu anawaona
Wataelewa tu.
 
Mkuu, hakuna priority ya hovyo hapo. kwanza hilo lilishaisha, ndege zilishanunuliwa. nadhani tungeendelea na mengine. lakini kukaa tuna reffer ndege kila tukilala tukiamka ndege, hii inaonyesha tulivyo washamba. siku sekta ya utalii ikiinuka kutokana na ndege tunazonunua mkumbuke kuja hapa mkiri aibu zenu.

ndege...ndege...ndege..............basi zichukueni mzirudishe huko canada ili mfurahi.

nani aliwaambia ndege ndio zimezuia kilimo.? huu ni ushamba na ufinyu wa kufikiria.
utakuwa mdada kama sikosei, vumilia tu nongwa za nini!
 
mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
Wamuzengo
Sisi huku vijijini tumefunga mikanda sana, na sasa njaa inatunyemelea.
JMP alisema tutalimia kwa meno lakini mpaka wakati huu bado siri-kali yake haijatuuzia au kutukopesha hayo meno ya kulimia.

Ndege-Mapangaboi yenu hayawezi kutusaidia sisi kuiepuka njaa.

Hii kitu wanatufanyia hawa wa-kubeep inatishia uhai wa matumbo. Roho zilishatangulia zamani lakini matumbo yetu yamewafanya nini jamaniiii?

Tumejikwaa pakubwa sana na watawala hawataki kujikosoa ktk hili.

Nchi ya ahadi bado sana maana tunadidimiza kinachoajiri wengi na kuvitukuza vinavyoongeza 'gap' kati ya walionacho na waliopungukiwa.
 
mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
Kwasababu ndege sio hitaji linalogusa asilimia kubwa ya watanzania walalahoi.

Hili hata mtoto wa darasa la tatu anakushinda kufikiri.
 
Mkuu, hakuna priority ya hovyo hapo. kwanza hilo lilishaisha, ndege zilishanunuliwa. nadhani tungeendelea na mengine. lakini kukaa tuna reffer ndege kila tukilala tukiamka ndege, hii inaonyesha tulivyo washamba. siku sekta ya utalii ikiinuka kutokana na ndege tunazonunua mkumbuke kuja hapa mkiri aibu zenu.

ndege...ndege...ndege..............basi zichukueni mzirudishe huko canada ili mfurahi.

nani aliwaambia ndege ndio zimezuia kilimo.? huu ni ushamba na ufinyu wa kufikiria.
Magufuli ndiyo kila baada ya sentensi mbili ana-refer ndege,

Unamaanisha yeye ndiyo mshamba??
 
wewe ndio utapasuka. mi ninachojua serikali ina pesa mpaka sasa hivi. pembejeo zitanunuliwa kwa wakati muafaka.
mikopo ya wanafunzi waliostahili wameshapata.
madeni ya watumishi yanalipwa kadri yanavyohakikiwa.

Mkuu, unapokuwa na sakata kama hili la watumishi hewa huwezi lipa lipa tuu bila kuhakiki.
Haya maelezo yako kamuelezee house girl wako pekee ndiyo atakuelewa.
 
Bado kuna ndege zingine zinakuja na zimelipiwa cash! Cash ambayo ingesaidia kununua pembejeo, mikopo kwa wanafunzi, kulipa madeni ya watumishi nk!

Sasa pasuka kabisa!

Kuna ndege zingine zinakuja?Ngapi na za aina gani?
 
Mkuu, hakuna priority ya hovyo hapo. kwanza hilo lilishaisha, ndege zilishanunuliwa. nadhani tungeendelea na mengine. lakini kukaa tuna reffer ndege kila tukilala tukiamka ndege, hii inaonyesha tulivyo washamba. siku sekta ya utalii ikiinuka kutokana na ndege tunazonunua mkumbuke kuja hapa mkiri aibu zenu.

ndege...ndege...ndege..............basi zichukueni mzirudishe huko canada ili mfurahi.

nani aliwaambia ndege ndio zimezuia kilimo.? huu ni ushamba na ufinyu wa kufikiria.
Hapo ndipo mnapokosea-kudhani kwamba ndege ndio zitachochea utalii! Lakini pia msiwe waoga watu wanapo critisize maamuzi yenu na kufanya reference ya mambo ambayo nyie mnaona ni kipaumbele. Kwamba wenzenu wamewaonyesha kwamba hatupaswi kuwa na vipaumbele vya bombadier tukadharau vipaumbele katika kukuza sekta ya kilimo kwa kuwa hapa sasa tunatanua goli la kuongeza umaskini na ukosefu wa ajira. Kwamba maendeleo yetu hayataletwa na bombadier kama hatuwekezi katika kilimo!
 
Binafsi nasubiri kuona unafki wetu kama taifa tutapoanza kuzika wenzetu kwa njaaa.maana kuna watu kupungua kwa hiyo bajeti ya bln 78 hadi kufikia bl 8 ,hawaoni kua ni tatizo kabisa.

Na bado tunaamini kabisa kua serikali ya awamu ya tano ni ya kutetea wanyonge.hivi kuna mnyonge zaidi ya asie kua na uhakika wa chakula!
Muandishi wa habari atakaye report habari z vifo vilivyotokana na njaa ataozea jela.

Hii ni serikali ya mkono wa chuma.
 
wewe ndio utapasuka. mi ninachojua serikali ina pesa mpaka sasa hivi. pembejeo zitanunuliwa kwa wakati muafaka.
mikopo ya wanafunzi waliostahili wameshapata.
madeni ya watumishi yanalipwa kadri yanavyohakikiwa.

Mkuu, unapokuwa na sakata kama hili la watumishi hewa huwezi lipa lipa tuu bila kuhakiki.
Utakuwa huna taarifa sahihi, wanafunzi wengi wenye sifa wako majumbani sasa! Na hata walioko vyuoni wanapata fedha kwa kusuasua sana, sasa kwamba serikali ina fedha kama unavyodai yaweza kuwa ni wewe peke yako mwenye uhakika huo, kwamba hata unaojipendekeza kwao watakuwa wanakushangaa mno!
 
mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
Kununua ndege kwa cash ndiyo inashangaza Dunia kwani hata waarabu akina Qatar na wenzao matajiri Duniani hawanunui ndege kwa cash,kununua ndege cash wakati wananchi walipata maafa kagera wakakosa pesa za maafa mpaka wananchi wakachanga, kununua ndege cash ni mbinu za Madalali ili wapate 10% yao kwa wepesi na haraka zaidi, ni mood gani inaharibiwa hapo?
 
Watanzania hatukukosea kuchagua rais yupo tulie mchagua bt haya yote yanaletwa na JK kwa kutulazimishia nani awe rais na nani asiwe
JK asingekwenda na majina ya membe na January mifukoni Dodoma leo hii tusingekuwa na story hii pengine tungekuwa na story zingine kabsa.
 
KWANI HATUWEZI KUZITUMA NDEGE ZITULETEE VYAKULA ,MBALIMBALI KAMA SOSEJI KUTOKA ULAYA MOJA KWA MOJA HADI TANZANIA?
Kama hujaelewa alichokiandika zitto Kabwe basi nchi hii ina watu wengi ambao ni vichaa wanaostahili kuwa milembe kwenye dozi
mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.
 
mbona ndege zinawauma sana kila mara lazima mchombeze ndege. kwani huwezi tuu ukawasilisha hoja yako bila kutaja ndege.?

kwa hiyo ndege ndio zimemaliza pesa zote za serikali.? inawezekana una hoja ya msingi, ila kuingiza ndege kwenye hoja yako umeniharibia mood.

kilimo kiwe kilimo na ndege ziwe ndege. acheni ushamba wa kuwaza ndege kwennye kila mnalowaza.

Mood yako ni mbaya tu na ndo maana mnatukana wananchi hovyo bila kujali kuwa na nyie ni viumbe tu pua zinaangalia chini. Kutaja ndege inakuuma nini kama sio ulevi
 
Back
Top Bottom