Salaam!
Hii mikutano ya video conferencing tuliizoea time zile kuna korona, na mara nyinginw vilifanyika kupunguza Gharama.
Sasa chama kikubwa namna hii kufanya mkutano mkubwa namna hii kwa video conferencing ni sababu ya ukata?
Sitaki ukiamini hili maana ni majuzi tu wamedai kupokea bilioni 3 kwa maombi ya ubunge KUPITIA fomu za wagombea chamani.
Wenye majibu mtujuze.🙏